Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Yani mimi ulifika tu wakati nilijiona nahitaji kuwa na wifey ili niwe na familia,basi nikatafuta mdada mmoja ambae niliona ananivutia nikabeba ndani ya mwaka nkatangaza ndoa!!ndo niko nae mpaka sasa tuna miaka mitano tunalala na kuamka pamoja!ulijuaje kuwa huyu ndio wifey,kati ya vishtobe vyako,nani ulimuona wife material and she deserve a ring?