nakumbuka nikiwa mdogo mama alinunua kitenge, dada akashona nguo, kikabaki kipande wakasema nishonewe shati...nikasema akaaaaaa, wakanishangaa kweliKanga na vitenge ni mavazi ya kike hata kama yakishonwa vipi.....
Haya mkuu nasmapesa sisi huk kwetu tunatafuta pesa dar tunakujaga kchagua gari za ktembelea na za biashara tuDar hakuna wanaume washamba,huyo unaemuna hapo ni miongoni mwa wagombania soda
Shemeji anashine sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23]wanaume wa dar wanashine sana
Hapana nasmapesa, ngosha huwa wanavaa mabwaga yanafunika mpaka kiatu.mwanaume gani wa dar ni mshamba kama huyo ngosha?
Pepsi za vuguvugu alafu kreti lilikua limehifadhiwa darini.Ila hatugombanii soda tena pepsi za moto
Ila mnagombania magauni ya Dada zenu na kunyang'anyana podaIla hatugombanii soda tena pepsi za moto
Wanaume wa Dar wana mengi!Mmh!!! Kama ya KE vile au ?
Jana nimemkamata ngosha mmoja anakojoa ovyo nikamwambia nampeleka polic aisee kwa mara ya kwanza nimeona mwanaume analia kama mtoto,nikacheka moyon nikaendelea na shughuli zangu.Ila mnagombania magauni ya Dada zenu na kunyang'anyana poda
Kweli hayo ni mavazi ya kike kabisa....isipokuwa wabunifu wa mavazi wameamua kutuvalisha mavazi yakike....nakumbuka nikiwa mdogo mama alinunua kitenge, dada akashona nguo, kikabaki kipande wakasema nishonewe shati...nikasema akaaaaaa, wakanishangaa kweli
Hivi Dar sikuiz wanaishi wasukumaSwaga hizo zinaonekana kama za kisukuma
Ushindwe kutaja mikoa ya kanda ya ziwa...IRINGA NA MBEYA HUKUTI WATU WA NAMNA HIYO. LABDA MWANZA,SHINYANGA, AU PANDE ZA KIGOMA.