Mwanaume wa Dar Akikusanya Marejesho!

Mwanaume wa Dar Akikusanya Marejesho!

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
WP_20160904_15_01_19_Pro.jpg

Video za Hilo tukio zinagoma Ku-upload, lakini ilikuwa balaa mitaa ya gerezani k/koo
 
Mtumie mtu apandishe hapa kwenye huu uzi hiyo video mana mi napenda ndoga za mtaani zinakuwa hazina Muamuzi mtu unazabwa mpaka unahisi Tanesco wamezima umeme mana giza siyo giza maruweruwe tu
 
Mtumie mtu apandishe hapa kwenye huu uzi hiyo video mana mi napenda ndoga za mtaani zinakuwa hazina Muamuzi mtu unazabwa mpaka unahisi Tanesco wamezima umeme mana giza siyo giza maruweruwe tu
Hahahaha!, ngoja nifanye hivyo!, ila wewe mbaya Sana!, kwa hiyo street wakilanzisha unatulia unafidia uhalisia tunaoukosa siku hizi kwa sababu ya haya ma-game
 
Back
Top Bottom