Mwanaume Vyakula gani unaweza kupika?

Bi mkubwa kanifundisha kupika nikiwa mdogo sana,pia alipokuwa anakuwa zamu kazini mzee alikuwa akinipikia vizuri so nilijua ving nikiwa shule ya msingi.Na nikabahatika kupita seminari hvyo nikaongeza ujuzi zaidi..Vyakula vingi nafahamu namna ya kupika kwa mapish mbalimbali.

Sometimes naamua kuchanganya tu hiki na kile natoa chakula fulan kipya ambacho sijawah kula, maana chakula cha namna fulan ni mchanganyiko tu wa vyakula vingne tofaut kwa namna inayofaa.

Mfano juz nimechanganya yai + maharage + chainizi unavikaanga kinatoka kitu fulan,msosi mpya naenjoy.

Napenda sana kupika,kuwapikia watu na kula chakula nikipikacho.
 
Bi mkubwa kanifundisha kupika nikiwa mdogo sana,pia alipokuwa anakuwa zamu kazini mzee alikuwa akinipikia vizuri so nilijua ving nikiwa shule ya msingi.Na nikabahatika kupita seminari hvyo nikaongeza ujuzi zaidi..Vyakula vingi nafahamu namna ya kupika kwa mapish mbalimbali.

Sometimes naamua kuchanganya tu hiki na kile natoa chakula fulan kipya ambacho sijawah kula, maana chakula cha namna fulan ni mchanganyiko tu wa vyakula vingne tofaut kwa namna inayofaa.Mfano juz nimechanganya yai + maharage + chainizi unavikaanga kinatoka kitu fulan,msosi mpya naenjoy.

Majirani hawakukugongea geti kwa kuchafua hali ya hewa?
 
Wanaume kama nyie mnafaa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napika vyakula karibu vyote.. Ila kutumia nazi ndio sijui kwa kweli...

Na hii sikutaka kujifunza kwa sbbu sipendi mafuta ya naz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom