Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 740
Hakika mkuuWapishi bora ni wanaume ila kama huna mafunzo tunaishia kuchemsha tu
Hongera mkuuMimi nilikuwa namuona Baba yetu..mama akisafiri tuu au kuumwa.basi yeye alikuwa anaahirisha outing zake zote sijui kunywa au marafiki baa...akitoka kazini anawahi home.
Anatupikia yaani saa 11 jioni chakula cha usiku tayari..SAA12 mezani mnakula..dah saa mbili wote kulala..tulikuwaa tunachukia...utoto tuu tulikuwa hatuelewi...
Hongera aisee... Mimi vingi vinanishinda. Hasa vya kukarangiza karangiza.Eee maana nivingi,
Aisee jifunze ndugu hata kupitia YouTube, wake zetu wanapenda sana Angalau mara moja kwa mwezi ahudumiwe kama malikia kuanzia Kuanzia kupikiwa had kutandikiwa kitandaHongera aisee... Mimi vingi vinanishinda. Hasa vya kukarangiza karangiza.
Kidogo vya kuchemsha
Nasubiria nipate mualiko wa kwenda kula msosi aliopika mwana JF. Ila niwepo akiwa anaanza kupika hadi mwisho sio nikute ameshapika hapana.
Tomaso Kasinde.