Mwanaume, usipende mapenzi ya mteremko

Mwanaume, usipende mapenzi ya mteremko

Kupitia ukurasa huu, wanaweza kujifunza.
Naamini watachukua tahadhari

Siku hizi hata chumba unachomlipia Kodi baby wako, hutakiwi kwenda bila taarifa

Chumba huko huko kimoja, mnaweza kujikuta Wanaume 5 wote mnakilipia Kodi 😅
 
Vipi baby wake huyo mwanamke ataaminije ninyi ni co-workers

Vyema kujiepusha na mazingira hatarishi Mkuu
Daaaah
Tena umenikumbusha kisa cha kweli, wakati fulani niliwahi kumtembelea bosi wangu wa kike ila nilipomtembelea jamaa yake alikuwa yupo nyumbani
Kwa hiyo hakukuwa na mazingira ya kutiliana mashaka.

Changamoto ilifika tukiwa mtaani, kwa muda mwingi baada ya kazi ilionekana nipo karibu sana na huyo mwanamke , baadhi ya wananchi wakaanza kuhisi huenda atakuwa mke wangu. Kumbe sijawahi hata kumtongoza japo niliwahi kumtamani.
 
Bora kwenye hiyo case mumewe alikwepo, lakini anaweza kukosa imani na wewe iwapo mtakuwa na ukaribu

Wanawake ukiwa na ukaribu nao na ukajua code zao, sio rahisi kukataa ukitupa ndoano
 
Tujitahidi kujiepusha na matukio ya hivyo, siku hizi hawachelewi kukuitia mwizi wakuue
Hali ni mbaya sana inaonekana.
Ndio maana mimi kwa sasa sitaki mtu aje kwangu wala mimi kwenda kwake.
Tunaweza tu kukutana kwenye sehemu ya wazi then kila mmoja anakula 50 zake
 
Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko.

Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego.

Baada ya siku kadhaa kupita, na wewe kumuamini, atakualika uende nyumbani kwake.

Na ukishafika huko kwake na kuingia ndani, atafunga mlango na kutoa funguo, kisha watajitokeza wanaume wa kazi.

Kinachofuata hapo ni kukuharibu na kukurekodi, na wakishamaliza haja yao, wanaweza kukupa nauli au kiasi fulani cha pesa na kuondoka.

Kinachofuata kwako ni msongo wa mawazo, na kuendeleza walicho kuanzishia.

Mwanaume, kuwa makini.​
Hii kitu ni kweli ipo. Vijana wanapagawa na mfumo.. Wanadhani kuna mapenzi ya kweli kwa mwanamke.. Lakini kila siku hua nasema ukiona mwanamke anatoa kwako jua kawekeza, iposiku atavidai.. Na jsipo lipa kwa pesa au vitu vya thaman basi ujue utalipa kwa utu wako(aibh, dharau, maneno, masimangu, msongo wa mawazo, ugomvi na familia ETC), kwakifupi utalipaaA
 
Kuna andiko nimesoma kwenye ukurasa mmoja mtandaoni, ukielezea changamoto inayowakuta wanaume wanaopenda mahusiano ya mteremko.

Atakuja mdada, na atakuwekea mazingira ya kukutaka kimahusiano, na huyo dada atakuwa anakuhudumia ili mradi uweze kunasa kwenye mtego.

Baada ya siku kadhaa kupita, na wewe kumuamini, atakualika uende nyumbani kwake.

Na ukishafika huko kwake na kuingia ndani, atafunga mlango na kutoa funguo, kisha watajitokeza wanaume wa kazi.

Kinachofuata hapo ni kukuharibu na kukurekodi, na wakishamaliza haja yao, wanaweza kukupa nauli au kiasi fulani cha pesa na kuondoka.

Kinachofuata kwako ni msongo wa mawazo, na kuendeleza walicho kuanzishia.

Mwanaume, kuwa makini.​
Kwakulawitiwa kiboya
Huyo mwanamke wananufaika na nini?
 
Back
Top Bottom