Hapana..huyu mume wa ICHANA
Haaaa! kumbe! mbona huyu ananinyimaga akivurugwa?
Asante ndugu ila kidogo sana naomba ufafanuzi wa hiyo namba moja hapo juu....
Ili aongeze tatizo lingine? Unataka afe mapema mwenzioNjia rahis sn na huyu mleta mada naona kazunguuuka hapa suluhisho ni mke wa pili mwenyewe ataisoma namba na mke mmoja ni pasua kichwa ebu cheki mpaka ifike hatua ujifiche usioneshe udhaifu kwa mkeo wa kutaka papuchi sasa unataka ukamuoneshe hawala yaan kuna vitu vya ajabu sn kwann mwanaume uteseke wakat wanawake tumeumbiwa sie na wametokana ktk sie wanaume
My dear Mama FB I miss you ... Thanks..Ahha japo kiupande mwingine n.kweli haya uyasemayo ila suala la mume kupandwa kichwani inategemea sana. Mume n kichwa cha nyumba iweje mke aje akupande ulikua umelala au umepoteza fahamu??? Mume ndo mwenye saut ya mwisho kwa nin mkeo ndo awe na mamlaka juu ya nyumba yenu????? halaf hata akukere vip mume hanyimwi tendo la ndoa..
Haaaa! kumbe! mbona huyu ananinyimaga akivurugwa?
Jamani mapenzi ni kupendana kuridhishana kudaidiana teena kwaa pande zoote mbili sio tuu mwanamke awe mtumwa wa mumewe bali kila mmoja awe mtumwa wa mwenzwe kwa upendo na sio manyanyaso,niinii maji bafuni kupika au kufua teeena chuuupi kabisa mume awezafanya yooote hayo kws mkewe ispokua iwe ni kwa mahaba na sio kushurutisha,mapenzi ni kudekezana na c mke pekeake kumdekeza mumr
Mkuu umeongea uongo hapo ss, wachaga wengi sana wastaarab, wamachame ndo huw wanajichukulia superior flan hv, ila wanawake wakichaga ni wakuoa kabs kuhus ubabe labda useme wameruWanawake wanapenda saana kuwa juu ya mwanaume hasa wachaga na wanyakyusa .
Ukioa kabila hizo utaisoma namba labda uwe mbabe ngumi mkononi siku zote hapo ataogopa
Kwanza hujasema alikutawala kivipi,yaani matendo gani amvayo alikufanyia kwako ukaona ni kukutawala,pua ni vyema uelewe kuwa mkeo ni mwenza wako,rafiki yako,mshauri wako,msiri waki na mwandani wako,mnaishi kwa kushirikiana na hata katika tendo la ndoa mnashirikiana,sasa anakutawalaje?Kwanza mimi sio mtaalamu wa masuala ya mapenzi, ila nimepitia changamoto tajwa hapo juu, mimi ni mwanaume nilioa zamani kidogo, mke mzuri wa tabia na sura but akaja kubadilika na kunitawala akawa kichwa cha nyumba.
Nilipambana na hiyo hali ikiwemo kutoa kipigo, kupeleka kwao n.k bila mafanikio.
Ndipo siku moja nikapata dawa ambayo nawashirikisha wenzangu, waliofanyiwa, wanaofanyiwa au wanaotegemea kufanyiwa, remember usimcheke mwenzako jipange ndugu! haya twende.
1.One mistake one goal formula.
usilee mambo madogo madogo ya kipuuzi! mwanamke atakusoma tabia yako mwanzoni kabisa wa ndoa yenu! siku amefanya fyongo ukapotezea bila kumuonya kesho atakwenda next stage.
2.Tendo la ndoa.
ni kweli hiki ni kiungo cha ndoa but kisitumike kama 'kinyanyasio' so mwanamke akijua huo ndio ugonjwa wako utateswa my friend! mfanye yeye akuhitaji wewe sio wewe umhitaji na hata akikunyima ikuume kimya kimya asijue atakunyanyasa ndugu.
3.Mfanye mwanamke awe dependent kwako! kama sio kifedha basi hata kimawazo, mfanye