Jamani mapenzi ni kupendana kuridhishana kudaidiana teena kwaa pande zoote mbili sio tuu mwanamke awe mtumwa wa mumewe bali kila mmoja awe mtumwa wa mwenzwe kwa upendo na sio manyanyaso,niinii maji bafuni kupika au kufua teeena chuuupi kabisa mume awezafanya yooote hayo kws mkewe ispokua iwe ni kwa mahaba na sio kushurutisha,mapenzi ni kudekezana na c mke pekeake kumdekeza mumr
Kuna kaukweli...
Mapenzi ni hela b.o.y.a wewe!
Haaaa! kumbe! mbona huyu ananinyimaga akivurugwa?
Ok. mwanamke jinsi utakavyomkaribisha kwako cku za kwanza ndo atakavyokuwa hivo hivo, kwa hiyo unatakiwa uanze kudhibiti kila dalili mbaya mapema.
twende kwa baba paroko shemd. umenikosha kwa kuuona ukweli hapa
Oooh shemd ngoja nioge fasta twende....OMG! Can't wait
nilikuwa nasubiri hii kauli tu
Twenzetu shemd
Hao ni wale wanakaa kwa dada zao wao kula kulala au bado vianafunzi vipo makwao ndio wana hayo mawazo
Mi mbona nlishafika unasubiriwa wewe tu..
Wapi huko my wii?
Huyu shem wangu aliniomba nimsindikize kwa paroko eti
Nadhani labda niwe sijakufahamu vizuri lakini mbona mambo ya kupandwa kichwani Sio sawa, inakuwaje mpaka anakupanda? Kama mkeo unampenda mnaelewana mnapanga pamoja kugombana kupo ila kupigana hakupo, wala kujifanya wewe uko juu hata Kama unataka Chalii Kwa mkeo unataka akufate hapo kosa, jua kwamba ukideka wenzio wanadekeza, ukinyeta wenzio wananyeteza, wala kumfanya akuhitaji ki mawazo hujajenga bado...