Ila wanaume tuna misimamo yetu...Kuna mwengine atasema haturuhusiwi kutumia emoji mwengine haturuhusiwi kula chipsi daahNashindwa kuelewa mkuu. Hebu waje hapa kujielezea.
Emoji siitumii kama ni jumbe official au nataka kujenga hoja,Ila wanaume tuna misimamo yetu...Kuna mwengine atasema haturuhusiwi kutumia emoji mwengine haturuhusiwi kula chipsi daah
Ila yote kwa yote Sheria zisivunjwe tuendelee kukaza
au "jamon" wtfAu mwanaume anaandika ' mmmh'
Ni vile tunapenda kujifanya wagumu...Sheria ziendeleeEmoji siitumii kama ni jumbe official au nataka kujenga hoja,
Otherwise emoji inatumika kuonyesha hisia za mawasiliano baina ya wanaowasaliana!!
Unatak vita halafu unawahi kujilinda....subir tukuandalie makombora mpaka usahau kumeza dawaWa mkoa tuachieni wanaume wa dar haya mambo kawaida
Msinifokee naumwa ukimwi
Mimi natumia mbona mjegeje haujaondoka natumia emoj kila kitu natumia 😂😂😂Ila wanaume tuna misimamo yetu...Kuna mwengine atasema haturuhusiwi kutumia emoji mwengine haturuhusiwi kula chipsi daah
Ila yote kwa yote Sheria zisivunjwe tuendelee kukaza
Kikubwa uishi kwenye uanaume wako tuu usivuke mipaka,Ni vile tunapenda kujifanya wagumu...Sheria ziendelee
Nisha sema naumw ukimwi nikifa mtafungwaUnatak vita halafu unawahi kujilinda....subir tukuandalie makombora mpaka usahau kumeza dawa
Mie nikiendaga sehemu fulani inayotoa huduma za kijamii, ikatokea nikaulizwa umri huwa napata kigugumizi kidogo sababu mambo ya birthday sinaga.Kwanza mwanaume hautakiwi kujua kama ulizaliwa. Hautakiwi kujua ulizaliwa lini.
Ushamba tu et mwiko kutumia emojKikubwa uishi kwenye uanaume wako tuu usivuke mipaka,