Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,168
- 83,006
Kaka kwema
Maana unaandika kama uko period una washwa washwa 🤣Umejuaje expert wangu🤣🤣
Ni sahihi kabisa expert wangu,una lingine?Maana unaandika kama uko period una washwa washwa 🤣
Graceful always.Ur welcome,hope you are happy now🤣🤣
Thanks broGraceful always.
You are welcome.Thanks bro
Kwema kabisa kaka,uko poa?Kaka kwema
Nipo gudi kakaKwema kabisa kaka,uko poa?
Pamoja sanaNipo gudi kaka
Hii migogoro ya masuala ya ndoa, malezi na mahusiano tujenge utamaduni wa kusikiliza pande zote mbili ndipo tuje na mapendekezo ya jumla. Huu utamaduni wa kusikiliza mwanamke peke ake ndio umejenga narrative kwamba kwenye kila mgogoro mwanaume ni villain na mwanamke ni victim, na wanawake washajua kwamba wana victim status kwaiyo wanaitumia kama loophole kufanya ulaghai na kukwepa kuwajibika pale wanapojua wamealibuView attachment 3468979
My people hope mko poa kabisa ni mwendo wa VPN tu nikisomeka hapa France.
Kuna kisa kimoja nimekipata leo asubuhi nikiwa ndani ya public transport kuelekea job, ni mwanamama ambaye anaongea kwenye line baada ya kupigiwa call kutoka kwa ndugu zake
Bimkubwa huyu analalamika kwamba mumewe daily husema kwamba hana hela,na hivyo majukumu yote ya familia anabeba yeye
Sasa Mungu sio Bey, bimkubwa si akaamua kusachi nguo ya mumewe akakuta shilingi Milioni Mbili [2,000,000/=]
Akasema yeye akachukua shilingi laki Moja [100,000/=] na lengo sio kutumia ila kumfanya mumewe ajue kwamba bimkubwa ameshtukia mchezo.
Na kweli mkulungwa akaingia kwenye line,akauliza wife vipi umechukua hela yangu? Wife akajibu ndio,kwahiyo hapo akauliza si unasemaga huna hela je,hizi ni nini?
Mwamba akajibu ana mahesabu nazo! Hapo nyuma kidogo bimkubwa baada ya kuona mzigo ule aliwaonyesha watoto wake,mnamuona baba husema hana hela je, hizi ni nini?
Baadae kilichofuata ni mwamba akalazimishwa kulala chini,kwasababu vitu vya ndani alinunua wife
Kwahiyo juzi mwamba kalala chini na jana kuamkia leo kalala chini,na bimkubwa akasema ingawa wana nyumba wamejenge wote,ila akimaliza kibanda chake anaondoka
Bimkubwa akasanuka kwamba hata pale mtaji wake unapokata akimuomba mumewe hata 20,000/=, huyu mwamba huwa hatoi
Huyu mwanaume mwenzetu katuangusha sana,kwanini hawajibiki kwa familia yake,kama watu kama nyie mpo humu ebu badilikeni,mwanaume ni kubeba majukumu
Ila kibaya ni Muongo Muongo halafu kaweka mzigo mfukoni mwake,je hajui kuna wake zetu ambao ni majasusi?
Kutoka France kwa mujibu wa VPN mimi expert wako Bey
Ni hayo tu!
Nakubaliana na wewe kabisa expert wangu,kuna haja kubwa sana ya kusikiliza pande zote mbiliHii migogoro ya masuala ya ndoa, malezi na mahusiano tujenge utamaduni wa kusikiliza pande zote mbili ndipo tuje na mapendekezo ya jumla. Huu utamaduni wa kusikiliza mwanamke peke ake ndio umejenga narrative kwamba kwenye kila mgogoro mwanaume ni villain na mwanamke ni victim, na wanawake washajua kwamba wana victim status kwaiyo wanaitumia kama loophole kufanya ulaghai na kukwepa kuwajibika pale wanapojua wamealibu