Mwanaume uliumbiwa kutoa

Mwanaume uliumbiwa kutoa

Nahisi aliyetunga sheria ya Tanzania kwamba Mshahara wa Mwanamke wala kipato chake hakimuhusu Mme wake nina wasiwasi mlisaidiana kuitunga.

Yaani mtu ana mshahara/kipato kukuzidi lakini bado anatakiwa kuhudumiwa na Mume wake, Only in Tanzania 🙌

Ndiyo maana Wanaume tunakufa mapema 😪
 
Kufenintu kama wewe sijui kwanini mpaka sasa upo hai
 
Back
Top Bottom