Mwanaume ukiwa handsome, habari ya kuombwa pesa muda mfupi baada ya kutongoza utaisikia kwa wenzako

Nimetoka kumpiga kubuti handsome mmoia hivi, majigambo mengi afu hela hana mi nitabeba huo uso wake kwenda kununua chakula
 
Ukiwa handsome bila pesa ni sawa na gari bila mafuta.
Ukiwa na wallet iliyonona wewe ni handsome automatically.
Binafsi sio handsome na siombwi ombwi pesa na ukileta habari za kuomba omba itakuwa ndo ticket yako.
Kila mmoja avune alipopanda.

GOD is GOOD
 
Uzuri wa mwanaume wallet.
PhotoGrid_1579598711498.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom