Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa unavikosa, hakuna jipya ndani ya ndoa, binafsi sijaoa ila nishawazalisha watatu,

Mwanaume hutakiwi kuoa,Kama unataka stress za Maisha na kufa haraka oa utakiona Cha Moto, mwanamke mzalishe tu then mtoto akifikisha miaka minne mpige chini huyo mwanamke tafuta mwanamke mwingine,huo ndo utaratibu wangu wa Maisha ya mahusiano na sijawahi kujuta....hakuna kitu ambacho mwanamke atakupa kwenye ndoa zaidi ya papuchi...ova,povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote Heri nimeoa sio Shida ila kabula Sijaoa hata kula nilikuwa nadoea ila Siku hizi NAMSHUKURU MUNGU SILALI NJAA NA PESA NAPATA KADIRI YA MAHITAJI YANGU. SIjutii kuoa. Ila Nikuambie tu Yote heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali sana! Kuna rafiki yangu mmoja ni marehemu kwa sasa yapata miaka 9 iliyopita, alikuwa na life style kama hiyo ya mleta Uzi huu, ikatokea siku moja uck aliugua akafariki, wapangaji wenzie wakaja kujua baada ya siku 3 baada ya kuhisi harufu ya ajabu kutoka kwenye chumba chake, wakamuita balozi wakavunja mlango wakakuta jamaa amefariki siku nyingi na baadhi ya viungo vyake kama pua na macho vimeliwa na panya, sasa ww mleta uzi endelea na life style yako hiyo hiyo ije ikutokee kama ya jamaa yangu huyo!
alikuwa ana miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije ukathubutu ukaoa,katika vitu ambavyo mwanaume hutakiwi kufanya Ni kuoa,hakuna kitu ambacho ukiwa bachela unakikosa kwamba ukioa ndo utakipata,ila ukioa Kuna vitu vingi sana utakuwa unavikosa, hakuna jipya ndani ya ndoa, binafsi sijaoa ila nishawazalisha watatu,

Mwanaume hutakiwi kuoa,Kama unataka stress za Maisha na kufa haraka oa utakiona Cha Moto, mwanamke mzalishe tu then mtoto akifikisha miaka minne mpige chini huyo mwanamke tafuta mwanamke mwingine,huo ndo utaratibu wangu wa Maisha ya mahusiano na sijawahi kujuta....hakuna kitu ambacho mwanamke atakupa kwenye ndoa zaidi ya papuchi...ova,povu ruksa
Ndoa umeijuaje hujawahi kuoa? Nahisi wewe ndiye wale vijana wanaozalisha mabinti hafu hawatoi huduma kwa watoto
 
Back
Top Bottom