Mwanaume ukipendwa pendeka

Mwanaume ukipendwa pendeka

Habari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.

Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake, unapigiwa simu hupokei mbaya zaidi ukipata miscall yake humtafuti, ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?

Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wewe unajifanya hayakuhusu,bewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake.

Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana yule unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wewe hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida.

Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano, ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu.

Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu ana umwa hata kumjulia hali huna muda, ipo siku yako utapata wa kukunyoosha.

Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe.

Ni maneno yangu kwa siku ya leo

Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”
Kumpenda mtu si jambo la mtu kuamua ni kitu kinachotokea natural

Huwezi mshurutisha mtu akupende kwasababu tu wewe unampenda si jambo la kuamua tu kama maamuzi mengine ya kawaida.

Kwakuwa unampenda mtu alafu yeye anaonyesha hakupendi huna mamlaka ya kumtolea maneno ya laana au nasaha

Sio mahusiano yote yatokana na upendo kati ya wawili , mengine ni lift ya kutaka kumfikisha mtu anapotaka kwenda

Be smart
Mbn na nyie mpo hivi hivi....aseee
 
Is this love by Bob marley
 
Mmmh! tena? me babu yangu kila siku huniambia mwanamke muongo, mzinzi silaha yake kubwa huwa ni kukuigizia anakupenda ili umuamini, niliwahi kuwa na msichana nilikutana nae chuo akaniaminisha ananipenda, nikimpigia simu yake sikuwahi kuikuta bize,kila mda nikimtaka nilikuwa nampata, nikiwa nae sasa kwenye naniliu dah!!!! jaman! ila kuna siku nimekaa na rafiki yangu nikawa namsimulia kuhusu huyo msichana cha kushangaza akaniambia alikuwa nae jana yake, nikabisha saana si akampigia nikasikia laiv saut yake ile ile, pale pale nikafuta namba zake. mpaka leo siamin kama kuna kupendwa zama hizi.
 
Habari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.

Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake, unapigiwa simu hupokei mbaya zaidi ukipata miscall yake humtafuti, ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?

Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wewe unajifanya hayakuhusu,bewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake.

Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana yule unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wewe hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida.

Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano, ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu.

Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu ana umwa hata kumjulia hali huna muda, ipo siku yako utapata wa kukunyoosha.

Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe.

Ni maneno yangu kwa siku ya leo

Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”
binti wa kirombo umeandika mambo ambayo ninadhani umekutana nayo maana ingekuwa ushauri tu ungeshauri pande zote mbili, (kama ni hivyo pole sana).

Ninachoamini (sikulazimishi uamini) Mungu humpa mtu wa kufanana naye, yaani uliyenae (mke/mme) ndiye wakufanana na wewe, otherwise kuna mtu alilazimisha, lakini wako ni lazima ufanane naye eidha umbadilishe awe kama wewe au wewe uwe kama yeye na pengine mkubaliane kwa pamoja mfute baadhi ya mambo msiyopenda.

Thanks for meseji.
 
Kazi tena bob12 si ndo hvo au
Agizo la asili la mwanaume juu ya mke wake
1 Kutafuta chakula kwa jasho kwa ajili ya mke na watoto
2 Kumpenda na kuishi nae kwa akili.
Mengineyo ni nyongeza ila hayo ndiyo key
 
Back
Top Bottom