Mwanaume ukifilisika kipesa, bhasi ujue mke/girlfriend wako atakukimbia

Kuna kauli mbiu humu.

Usishangae ukiitwa FULUSHI bora kushi mwenyewe walai

'mtindilo'
 
Sina hamu na hawa viumbe wanaoitwa wanawake kwa walionifanyia na ni zaidi ya wawili.
Ukiwa huna pesa haijalishi mazingira mliokutana mke huna wala girl friend.
 
Katika watu ambao walinifariji nilipokuwa na shida ni mke wangu. Yaani alikuwa bega kwa bega na mimi katika mapito niliyopitia. Kama nikipewa nafasi ya kuongeza mke wa pili namuoa tena yeye
 
Back
Top Bottom