Mwanaume Suruali

Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?

Kaka cha msingi anza mbele. Kwa sisi tuliokulia uswahilini maneno yake yana maanisha kuwa mzee hupigi mashine sawa sawana hivyo kuna jamaa wanakusaidia. Au kama alivyo zungumza mwenzangu, kuwa wewe ni super tegemezi.

Hiyo dhambi haiwezi kwisha au la sivyo wewe ubadilike.
 
matusi makubwa hayo mjomba............................!
hiyo ni dharau kupitiliza...........................................!
mm ningechachapa lapa siku nyingi zilizopita............................!
 
Kuuliza opinion za watu hapa una-prove huyo demu yuko sahihi....you have decided long before..
 
hahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! umenichekesha sana, ila kwa kuwa ni House girl inawezekana hajui maana yake yeye anatamka tu, msamehe na mueleweshe kuwa hupendi hilo neno na akirudia unamwacha hatokwambia tena.
Pili kama unampenda mpeleke kwa school.
 
Kuna wanaume wengine wanatesa sana watoto wa wenzao. Hawawatunzi wala kuwajali kazi ni kuning'iniza suruali tu. Kwa nini wasiambiwe hayo? Mkuu Bujibuji kama una hakika unatimiza wajibu wako ni sawa kulalamikia maneno hayo
 
Kwani ni lazima kutunza watoto wa wenzao? Kuja omba kazi kono nyuma pata kaji kono mbele sasa.
 
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?

ehhh? pole sana,
asiyejua maana haambiwi maana.
mvumilie tu, kipenda roho.
 
haujishughulish babu...umekaa tu wafanya kubadilisha chanell from am to pm wat do u thk then?
ungejishughulisha kidogo ata km usingepata au umepata kdg angeridhika na angekushukuru bt km wew umetulia tu km yai tumbon babu u just get prepayed utachambwa wewew mpaka ujione nnyaaa .......RAHA YA mwanaume kujishughulisha babuweeee we kaa kaaa tu......dah inaboa kuwa na wanaume doro km awa yan ata ajiangaishi japo kg 1 ya sugar yan kila kitu aletewe afu vijipaka km ivi vinakuwaga na wivu ivo.......dahhhhh afu kujitia mwanaume ndani ya nyumba kitu kdg tu utaskia mi ndo mwanaume umu ndani........mi ndo kichwa cha nyumba......haaaaaaaaaaaa jaman kichwa gan sasa kishakufa?kiko doro? kina kazi gan>??????????ahhhhhhhhhhhh bora ata uuze karanga inaridhisha that ANAHAINGAIKA BT AJAPATA apo UANAUME WAKO UNAPANDA that achagui kazi na anasaka sana just for our family............bt kuwa na mbadilisha chanel seblen kutwa mbona inaboa .......mmh MBONA NTAMWEKEA UPUPU KWENYE MAKOCH AKOME...............natania!!!!!!!!!!!!
kwaherin!!!!!!!!!!!!
 
:shut-mouth:
 
Ukitaka kujua jinsi gani mtu wa karibu anavyowaza juu yako sikiliza nachosema wakati mmpendishiana! Hivyo ndio anavyoamini huwezi badilisha kitu wewe kwa mtazamo wake ni suruali tu! Angalia usawa mwingine!
 
Hapa sasa nimeelewa.
Mbona binti mwenyewe ni mtumishi wa ndani wa nyumba jirani?
Ila si unajua mapenzi hayabagui wala hayachagui?

Mkuu mbona ushajijibu mwenyewe sasa unachukua beki tatu hulipi kodi wala nini na wala huna muda wa kutumia nae zaidi ya kum ***
Mwenzio anamaaninsha umpangie chumba ili aweze kukupa uloda wa kikweli
Watu kama nyie mnaitwa Mario
 
ipo siku atakutukana, we endelea kumsikilizia, atakwambia neno baya ndio utaona hakufai
 
Back
Top Bottom