Mwanaume Suruali

Hivi ukiwa mwanaume suruwale lakini mtarimbo ukawa mukide kuna tatizo lolote?

Kama mtarimbo unafukua ipasavyo, huyo huyo anayekuita suruwale atakukabizi ATM card yake kwa ajili ya kudraw KADIRI UTAKAVYO.....

Kwangu mimi mwanaume suruali has something to do with perfomance kwenye sita kwa sita tena ya mpingo......:A S 8::playball:
 
We usimpotoshe mwezio,tafuta chanzo cha tatizo kwanza.Kwani umeambiwa kumfukua ndio sababu huku huteki care kwa issues ndogo ndogo zinazotakiwa katika mapenzi haisaidii.Tafuta ni kwa nini uitwe mwanaume suruali halafu tafuta dawa maana inajirudia rudia kama ulivyoeleza.
 
Hivi ukiwa mwanaume suruwale lakini mtarimbo ukawa mukide kuna tatizo lolote?

Kama mtarimbo unafukua ipasavyo, huyo huyo anayekuita suruwale atakukabizi ATM card yake kwa ajili ya kudraw KADIRI UTAKAVYO.....

Kwangu mimi mwanaume suruali has something to do with perfomance kwenye sita kwa sita tena ya mpingo......:A S 8::playball:

Unaenda TIENS ukitoka hapo mengine yote ni masimulizi
 
hata kama ni housegirl anajua sana maana ya kauli hiyo,hapo bado ni housegirl je ukimuoa halafu umfungulie biashara ajue kushika pesa si ndio utadharauliwa hadi ukome!
tafakari kwa makini something is wrong!
 
Ndio hapo atakapoanza kuacha kukushirikisha katika biashara na kukwambia sio lazima ujue kila kitu kinachoendelea kwenye biashara
 
Hapa sasa nimeelewa.
Mbona binti mwenyewe ni mtumishi wa ndani wa nyumba jirani?
Ila si unajua mapenzi hayabagui wala hayachagui?
BB kwa kweli umeniacha hoi !!!!! beki tatu ndo anakutesa, pole sana !!!
 
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
hakuna cha nini wala nini.... anavyosema ndivyo anavyokuona, so uamuzi ni wako, either kusuka au kunyoa
 
kumbe mtu ukiambiwa mwanaume sarawili inauma eehh, kwanini ucshukuru umeambiwa ukweli ujue pa kurekebisha?

Nyamayao hapo itakua imekula kwako....
Nitasepa....kama ni kurekebisha kwingine...:mad2:
 
Hivi ukiwa mwanaume suruwale lakini mtarimbo ukawa mukide kuna tatizo lolote?

Kama mtarimbo unafukua ipasavyo, huyo huyo anayekuita suruwale atakukabizi ATM card yake kwa ajili ya kudraw KADIRI UTAKAVYO.....

Kwangu mimi mwanaume suruali has something to do with perfomance kwenye sita kwa sita tena ya mpingo......:A S 8::playball:
Bro mtalimbo peke yake hautoshi siku hizi;lazima uwe na kianzio. Mbona mitalimbo iko mingi tu sasa ale nini??
 
demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
kaka hizo dharau mbaya sana kaka achana nae nenda kwanza katafute mkwanja(pesa) hakuna mwanamke anayekuwa na mapenzi ya kweli na mwanaume asiyekuwa na pesa kaka hapo juwa kuna mtu analinganishwa na wewe na wewe unaonekana huna kitu thats why anakuita mwanaume suruali, sipendi sana dharau kama hizi ndo maana huwa nawatafuta nikiwa na mkwanja na namba za simu siwapi ili wasinisumbue teh! Teh! Tee! Ukitaka kuchukua moja kwa moja sawa lakini hapo kaka mmewekwa katika mzani sema hana jinsi anakuvumilia ondoka kabla aibu haijakufika mkuuuu
 
Hivi ukiwa mwanaume suruwale lakini mtarimbo ukawa mukide kuna tatizo lolote?

Kama mtarimbo unafukua ipasavyo, huyo huyo anayekuita suruwale atakukabizi ATM card yake kwa ajili ya kudraw KADIRI UTAKAVYO.....

Kwangu mimi mwanaume suruali has something to do with perfomance kwenye sita kwa sita tena ya mpingo......:A S 8::playball:

Hata kama sita kwa sita unayaweza lakini mijanaume mingine imezidi, utakuta anapiga mizinga weeeeeeeeeee mara ninunulie vocha mara nikopeshe na sometimes hata gest atataka ulipie wewe. Usubiri upewe na sio kuomba omba
 
:mad2::A S 8::confused2::eyeroll2::becky::smile-big:
Da, sasa ndio kipindi cha kwenda kumtongoza mama yake kimewadia ili ajue kuwa wewe kweli ni MWANAUME SURUALI
 
pole lakini, umeambiwa ukweli ukakuuma, hayo ndo matunda ya umalaya, mmezidi kuzini bila kufunga ndoa, kakuona huna mana, amekudharau hadi kakumaliza. yaani hata kwenye ndoa haujaingia umeambiwa mwanaume suruali, yaani hamna kitu, patupu...sipati picha huko saloon atakachokuwa anawaambia wenzie...mzee umeumbuka.
 
Weee jamaa wewee haya ni mafundisho ya dini gani?
Kweli nimeamini usije mjini, usije kukutana na muhuni kama wewe
:mad2::A S 8::confused2::eyeroll2::becky::smile-big:
Da, sasa ndio kipindi cha kwenda kumtongoza mama yake kimewadia ili ajue kuwa wewe kweli ni MWANAUME SURUALI
 
Hapa sasa nimeelewa.
Mbona binti mwenyewe ni mtumishi wa ndani wa nyumba jirani?
Ila si unajua mapenzi hayabagui wala hayachagui?
Hehehehee,wewe tafuta beki tatu ambaye ni fresh from village,huyo keshajua lami za mjini.Pole lakini.
 
Sasa mwanaume suruali ana sifa zipi? Mbona naona kama ni lugha za mafumbo ndio zinazungumzwa hapa?

Ni kweli BB..hili ni fumbo......literally meaning huna lolote uwezalo isipokuwa kuvaa suruali...yaani hujiwezi labda kifedha etc....kama wanaume wanavyofaa......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom