Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 866
- 1,722
Umemaliza kila kitu mkuu mana tangu nianze kuona nyuzi za kila mtu anavyowazungumzia hawa wanawake kwa namna yake hali mradi kuwafurahisha nimekuja gudundua kila mtu anakuja na lake means hawaeleweki