Mwanaume pesa!

mie nimecheka DC sijaelewa bado Polio????

Mhh Da FL1, sikujua kama na wewe ni mchokozi kiasi hicho.

Haya basi, polio ni ugonjwa wa kupooza ambao unaweza kuathili kiungo kimoja au zaidi (mfano miguu). Mgonjwa anapata flaccid paralysis ambayo ni kinyume cha tetanic paralysis. Sasa kama jogoo kaugua polio, basi anakuwa usingizini wakati wote. Tuko pamoja au mbado??
 
Mie nimekufahamu Cheusi... kuna watu wanaopenda easy money who are too lazy to use their brains to get money instead they use their bodies...thats why there are prostitutes, beggars (uses their hands lol) na hawa unaowataja hapa.... haya dada zangu fanyeni kazi haipendezi kabisa mwanamke kujirahisisha kwa ajili ya pesa ( u r too precious no money and nobody should buy u)
 

Hata kama ni Bwabwa?
 
Pesa sio msingi wa maendeleo.........................(1)

Pesa sio MSINGI wa mapenzi ila ni MUHIMU katika mahusiano.......................(2)

Mwanaume mwenye MAENDELEO hayakuja kwa sababu tu ya pesa, kulikuwa na mambo mengine pia.....................(3)

Mwanamke anayempenda mwanaume mwenye PESA zake, huyo anakuwa amependa pesa na sio mtu ndio maana hatapata MAENDELEO anayodhania.......(4)

Mwisho wa siku mwanamke wa namna hiyo MPUNGA wake utaliwa lakini hatakuwa na MAENDELEO kwa vile aliweka PESA mbele!(5)

Thanks baby Cheusi fo zis uyuziful posht:hug:
 
vigelegele jamani kwa daktar wangu bingwa kwa huu mtiririko na ufafanuzi wa kitaalam!
thanx k sina hata la kuongeza umesema yote!
sina jinsi ya kukushukuru zaidi ya kukupatia busu la moto la kisogoni!
 

noname leo hekima imekubali mpendwa......... Hope you have a romantic weekend...... Best wishez
 


kila nikiitizama avata ya huyu baba pumzi zinaniishia!
roho inatweta!
moyo unapiga tofauti na kawaida yake!
macho yanaishiwa nguvu!
vidole vinateleza kwenye key board!
-- je hizi ni dalili za mtu anayekwazika au anayeingia majaribuni??
 


kila nikiitizama avata ya huyu baba pumzi zinaniishia!
roho inatweta!
moyo unapiga tofauti na kawaida yake!
macho yanaishiwa nguvu!
vidole vinateleza kwenye key board!
-- je hizi ni dalili za mtu anayekwazika au anayeingia majaribuni??

kaizerrrrrrrrrr kaizerrrrr chrispinnnnnnnnnnn hebu amkeni huko mlipolala mje mjionee!
 
kaizerrrrrrrrrr kaizerrrrr chrispinnnnnnnnnnn hebu amkeni huko mlipolala mje mjionee!

Nimeona, ila si wajua maji ya moto hayaunguzi nyumba.,....in fwakti amekwazika

queenkami........ebu ngoja kwanza....I hope sijakwazika pia lol
 


kila nikiitizama avata ya huyu baba pumzi zinaniishia!
roho inatweta!
moyo unapiga tofauti na kawaida yake!
macho yanaishiwa nguvu!
vidole vinateleza kwenye key board!
-- je hizi ni dalili za mtu anayekwazika au anayeingia majaribuni??

japo hili linahitaji sredi lakini uzoefu unaonyesha ni pepo njoo nikupunge kabla hajaleta madhara
 


kila nikiitizama avata ya huyu baba pumzi zinaniishia!
roho inatweta!
moyo unapiga tofauti na kawaida yake!
macho yanaishiwa nguvu!
vidole vinateleza kwenye key board!
-- je hizi ni dalili za mtu anayekwazika au anayeingia majaribuni??

cheusi dawa ya kidari changu......! amini usiamini......!hata mimi nina dalili kama hizi zako hata nikikuwaza tu achilia mbali kuona avatar yako.......!
hizo sio dalili za majaribu wala kukwazika!..:hug:.......!nipokee PM nikwambie ni dalili za nini!
 
kaizerrrrrrrrrr kaizerrrrr chrispinnnnnnnnnnn hebu amkeni huko mlipolala mje mjionee!
aaaah malkia vipi tena mbona unataka kuvuruga bahati ya kijakazi wako........!
acha makelele utaamsha waliolala bana........!
 
safi sana cheusi............mwaah
 
wanaume wa jf watakomaje mwaka huu... mpk mpotee jamvin mchana mzima mkazisake tena na tena na tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…