Mwanaume pesa!

yaani umeongea jipweint ambalo aah basi tu ngoja ninyamaza nisije nikamwaga michere ma-rice na mamipunga bure mbere ya kukuz!!!!
 
wanaume wanachagua wanawake kwa maumbile yao au kwa sura ( superficial things)
wanawake wanachagua wanaume kwa pesa zao ( material things)

kwa hiyo ngoma droo 🙂
 
unakosa huduma muhimu kama chakula malazi na mavazi

Watu wa JF hamuishi vituko. Sasa mavazi na malazi ya uhusiano gani na machine ya kunyoosha misuli? Ila maladhi ndo kweli unakuwa huwezi kupata. Kuna jamaa yangu kajogoo kake kaliugua polio, basi akawa anatamba kwamba haweza kufa kwa ngoma labda anywe virus kwenye maji!!
 
napingana na wewe,sorry bro!
hata nife njaa siwezi kuukabithi mwili wangu ambao ni hekalu la roho mtakatifu kwa janaume nisililipenda!
kama lina mihela si linisaidie tu bure!!

Wewe wasema! Naamini wewe siyo msemaji wa she wote (kama UWT ya Mama Sofia Simba)!
 
cheusi cheusi cheusi........!
nakiri kuna kitu fulani ninakipenda kuhusu wewe......wala sio avatar yako wala nini...........nimefuatilia sana posts zako nikagundua there si something special about you baby...........!sometimes uko complicated na pia una aina fulani ya uandishi na jinsi unavyopresent posts zako sio siri huwa inanivutia sana........!!
sijui ni kitu gani lkn niko curious sana kukufahamu zaidi......!
.....nice topic......!!
 
Ukiwa na fedha unaogopa kuishiwa/kufilisika ukiwa na huna hela huna wasiwasi wa kuishiwa na tena masikini wengi ni wacha Mungu sana. Matajiri wengi ni voodoists

Mwenye pesa ni mfalme kwa kweli...... Ila wajameni wanwake wana nini na pesa??, Mbona hawachagui kabisa, mambo ya pesa wanayaweka mbele sana.
 

Good luck (bon chance')
 
napingana na wewe,sorry bro!
hata nife njaa siwezi kuukabithi mwili wangu ambao ni hekalu la roho mtakatifu kwa janaume nisililipenda!
kama lina mihela si linisaidie tu bure!!


Ha hahahh, hapa dada umegonga penyewe
 

mapenzi ya kweli,ni pale unapopata mtu anayeendana na wewe..kihaiba,kipesa na kila kitu,ukisema unapenda pesa ndio maana unahangaika kuzitafuta...afu uko na mtu ambaye hana pesa nitakushangaa sana!
 

mie nimecheka DC sijaelewa bado Polio????
 

santa claus hehehee ,hata mie niko curious kujua unagawa zawadi za aina gani!
 
Umeongea ukweli mtupu,
huonekani online siku hizi,
au ndio huko kijijini kwenu ulikotuma yale uliyoyakuta wamekubana?
ukiwa na fedha unaogopa kuishiwa/kufilisika ukiwa na huna hela huna wasiwasi wa kuishiwa na tena masikini wengi ni wacha mungu sana. Matajiri wengi ni voodoists
 
 

mkuu inaonyesha umeoza tayari la msingi mtumie pm
 
 
Jamani sio kwamba nawadiss wadada mnapenda PESA yaani too much, uko pub ukikenua meno umenunua vinywaji na vilaji. Baada ya hapo shida zinafunguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…