Mwanaume: Pesa yoyote utakayopewa na mwanamke anayekupenda asiye na kazi imetoa kwa mwanaume asiyempenda

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Kijana wanawake ni viumbe ghari sana mwanamke asikwambie kuwa yeye ni wa kishua pesa zipo tu za kukuhonga.

Wengi wa wanawake ambao wanahonga vijana wa kiume wanakuwa na waume za watu. Usiku Mwema.

Mwanamke akikupa hela ambayo inamaelezo mrefu ujue upo sentimeta kadhaa kupata ukimwi au magonjwa ya zinaa. Mpenzi wako anachepuka.
 
Bahati nzuri tuliowengi tunaohonga shida yetu ni ngono tu na burudani za kitandani, mengine hatujali.

Kama nakuhonga, nawewe unakwenda kuhonga mwanaume mwenzangu huo ni ufala wako tu..
 
Kijana wanawake ni viumbe ghari sana mwanamke asikwambie kuwa yeye ni wa kishua pesa zipo tu za kukuhonga.

Wengi wa wanawake ambao wanahonga vijana wa kiume wanakuwa na waume za watu. Usiku Mwema.

Mwanamke akikupa hela ambayo inamaelezo mrefu ujue upo sentimeta kadhaa kupata ukimwi au magonjwa ya zinaa. Mpenzi wako anachepuka.
Umeandika ukweli mtupu na ndicho nime experience mara nying
 
Kijana wanawake ni viumbe ghari sana mwanamke asikwambie kuwa yeye ni wa kishua pesa zipo tu za kukuhonga.

Wengi wa wanawake ambao wanahonga vijana wa kiume wanakuwa na waume za watu. Usiku Mwema.

Mwanamke akikupa hela ambayo inamaelezo mrefu ujue upo sentimeta kadhaa kupata ukimwi au magonjwa ya zinaa. Mpenzi wako anachepuka.
Nikipewa pesa na dem ni starehe tu maana haina lengo
 
Kijana wanawake ni viumbe ghari sana mwanamke asikwambie kuwa yeye ni wa kishua pesa zipo tu za kukuhonga.

Wengi wa wanawake ambao wanahonga vijana wa kiume wanakuwa na waume za watu. Usiku Mwema.

Mwanamke akikupa hela ambayo inamaelezo mrefu ujue upo sentimeta kadhaa kupata ukimwi au magonjwa ya zinaa. Mpenzi wako anachepuka.
Sawa Tata,Mzee wa Tarime...
 
Back
Top Bottom