Mwanaume: Oa anayekupenda, sio uliyemtengenezea mazingira akupende

Hii thread ina ukweli, wakati wa kupotezeana muda umekwisha, wee mtu unatongoza kama unaomba kazi??? utadhan dem bikra??

Hahahhha.. Kwnza huo muda unaupata wapi banaa.. Mtu umtongoze mara moja muelewane yaishe
 
Infact kwa ulimwengu wa leo hakuna haja ya kumtongoza dem zaidi ya hata mwezi1...ikizidi hapo jua huna vigezo vyake sepa si lazma upendwe na kila demu... As matter of fact design na sample za madem ni kama kariakoo vile unavochagua madera yameja yakila aina. Jimini mwanaume biashara za kutongoza miez6 sijui miaka 2...yalikuwa ya miaka ya 1999 kurudi nyuma, tangu tumeingia Y2K (2000yrs) biashara hyo haipo. Sanasana ukijidai kukomaa ndo atakukubalia kwa kukupiga kamba na kufilisiwa and then kutendwa na kuambulia machungu ya mahusino.
 
aisee mimi ni mwanamke nikukuzungusha sana ujue nataka kuona na benefits vipi kwako.. kwa sababu moyo haupo tayar kuwa na wewe........... kama nakupenda nakubali tu

Daaaaah..... Kumbeeeee.... eeeeh.....
Sasa hii ina-Apply kwa wanawake wote au kwako tu...
 
Back
Top Bottom