Mwanaume: Oa anayekupenda, sio uliyemtengenezea mazingira akupende

Infact kwa ulimwengu wa leo hakuna haja ya kumtongoza dem zaidi ya hata mwezi1...ikizidi hapo jua huna vigezo vyake sepa si lazma upendwe na kila demu... As matter of fact design na sample za madem ni kama kariakoo vile unavochagua madera yameja yakila aina. Jimini mwanaume biashara za kutongoza miez6 sijui miaka 2...yalikuwa ya miaka ya 1999 kurudi nyuma, tangu tumeingia Y2K (2000yrs) biashara hyo haipo. Sanasana ukijidai kukomaa ndo atakukubalia kwa kukupiga kamba na kufilisiwa and then kutendwa na kuambulia machungu ya mahusino.

Uko sahihi sana,, haswa hapa mwishoni..
 
mimi nilifukuzia demu miaka miwili bila mafanikio. Kwa hili somo asante sana, nimekuelewa sana mkuu.
 
Umeshindwa kueleza uyo mwanamke anaetongozwa kwa muda mrefu umekutana nae kwenye mazingira gani kwanza coz mazingira unayo kutana na mwanamke ndio yanayosababisha mwanamke kuchelewa kukukubali kwa kipindi kifupi na kitu chengine pia kinaweza kikasababisha mwanamke kuchelewa kukukubali ni life style yako ikiwa aisomeki mwanamke ni lazima achelewe kukukubali coz anashindwa kukuelewa wewe ni mtu wa aina gani so inaitaji muda akusome kwanza,kama wewe mwanaume ni raisi kusomeka basi aitachukuwa muda mwingi kukusoma na kama ni vigumu kusomeka basi itachukuwa muda kidogo coz mwanamke timamu awezi kutongozwa na kukubali kwa muda mfupi labda kama mazingira yenu mnayoishi mko karibu sanaa labda ni jirani yako au uko nae office moja inakuwa raisi kukusoma au pengine ata kabla ujamtongoza anakuwa ameshakusoma wewe ni mtu wa aina gani, lakini kama mmekutana club au kwenye sherehe au beach au ndani ya bus mazingira ayo lazima atakusumbua coz atataka akusome wewe ni mtu wa aina gani mwanamke timamu uwa yuko ivyo akurupuki kwenye mamuzi yake,malaya ndio wanaokurupuka coz malaya anakuthaminisha tuu akikuona muonekano wako uko poa gari kubwa bwebwe nyingi basi fast atotaka kukupoteza lakini dem mwenye akili lazima akuchunguze kwanza vijana wengi siku izi ni waongo na wengine ni majambazi so dem mwenye akili anataka mwanaume mwenye nitham,kwa upande wangu mimi mwanamke mwenye kunikubali kwa muda mfupi ni lazima nimtazame mara mbili mbili na nimchunguze nijue kwanini amenikubali upesi labda kama ni jirani yangu au niko nae office moja au mazingira ya kazi tupo karibu sawa coz atakuwa ameshanisoma muda mrefu ila kama dem wa kukutana nae club au beach au ndani ya bus lazima nijiulize maswali mengi kwanini anikubali kwa araka ikiwa anijui so kaka sio kila dem anaechelewa kukukubali akupendi apana wakosea usiseme ivyo sababu ata uyo anae kukubali kwa muda mfupi unatakiwa ujiulize kwanini? Sababu kukubaliwa sio kupendwa kupendwa kunachukuwa muda wazungu wana sema love takes time so kuna tafauti ya kupenda na kutamani kupenda kunachukuwa muda kutamani akuchukui muda ndio mana kila siku case za watu kuachana azishi sababu uwa awajapendana wanakuwa kila mmoja alimtamani mwenzake ila awajapendana waliopendana kaka kuachana ni sawa na kikwete kwenda shopping kariakoo
 
hata kama anakuchunguza, sio miezi sita au mwaka! sidhani kama mtoa mada au tuliosema hatupendi usumbufu tunapotongoza tunamaana tunataka tukubaliwe siku hio hio!

haiwezekani tukutane tu kwenye basi siku hio hio akubali,ila from day one mtu anaonyesha interest ndio mnaanzia hapo
 
asante sana kaka, umenisaidia kumuweka sawa
 
Baada ya yote umesahau kuwa mwanamke anafall in love gradual na sio kama mwanaume, its instant! Ndo maana kuna wanaume wenzio wanaolijua hili bado wanabembeleza na wengine kufikia kuwaoa na mpaka leo ni happily married. Sio kwa ni ya kutingisha kiberiti...hapana but we were created differently

cc Mdharuba
 
Last edited by a moderator:
Umenena kweli mkuu.Mbaya zaidi wakati wewe unamhangaikia muda huo kuna jamaa anamega,sijui kwanini amegwe wakati anajua baadae atakukubali???
 
Back
Top Bottom