Mwanaume ni yupi hapa??


Ushauri wako umetulia...
 

Mkuu kuna shule ya mawazo (school of thought) moja inasema kwamba kuna watu kuoana na watu kufunga ndoa! Nafikiri ukilidadavua neno kuoana utapata maana yake vyema.
Kwa case ya kwanza, suala la kuoana linachukua mkondo wake, huyu mwanamke ambae anaonekana malaya mbele ya jamii, na mtu anamtaka huyo huyo aweze kuishi nae, pengine jamaa ameona malaya huyu ndie anaeoana nae; hivyo wakioana ndoa yao itadumu na wataishi milele kwa amani na upendo.

Kwa case ya pili, suala la kufunga ndoa ndio linaingia. Hii ni kasumba ya wengi siku hizi, wanataka kufunga ndoa ili kuifurahisha jamii inayowazunguka; wanataka wawe talk of the town kupitia ndoa yao! Hawa hawawezi kuishi kwa amani na upendo; sana sana wakijitaidi, wataishi fake life!
 
hilo tatizo tumeshapata suluhisho la kihandisi. unatumia tube tofauti kwa kila kalio. maty ukipata supplier uniambie na mie manake fidel80 kanifumbua ukope,kumbe pasi ndo inaniponza!
duh la mchina linaweza kuwa moja kubwa jingine dogo sasa uwiano hapo utakuwa wa ajabu la sivyo itabidi umtafute mjerumani akutengenezee centre of gravity ili usianguke
 
Daaah!bt hyo rahs braa,ukipnd ujue jamii haina nafas yyte coz hata ikiwa nayo haiwz fny any chngz,ki2 kupnd hata angkua anatembe uch usng ona ajibu!imekutokea nin kaka,ila fresh kaza moyo uzbe maskio ww ndo ulyepnd cyo jamii
Mkuu unayetumia mobile naomba uandike lugha ambayo itakuwa inaeleweka kwa wengine, please not that what is highlighted in blue is not understandable kwa wengine, please observe
 
hilo tatizo tumeshapata suluhisho la kihandisi. Unatumia tube tofauti kwa kila kalio. Maty ukipata supplier uniambie na mie manake fidel80 kanifumbua ukope,kumbe pasi ndo inaniponza!

mhhhhh.......
 
Mimi nasema hata ukuwe kidume cha namna gani lakini lifestyle ya kiafrika na third world et al ,jamii ina nafasi kubwa sana katika kuimarisha/kubomoa au kuathiri ndoa/mahusiano.
Imagine nyumba yenyewe pengine unakaa ya mjombaako, na ukikosa chumvi unahitaji mke wa jirani yako ndo akugaie unazani jeuri ya ukidume utaitolea wapi?

Hali ni ngumu tuongezeni maombi wajameni!
 
hiki ndo nilichokuwa nakizungumza
kwamba most men kwa mujibu wa maelezo yako...wanashindwa kuwa wakweli wa nafsi....
kwa sababu kama 'good sex na chemistry' haipo kwa wife ,kwa nini umuoe???

na ukimuoa je ni uamuzi wa kiume???/


Hivi Boss unajua kua good sex na Chemistry in time yaweza fade?? Hata hivo kuoa ni bahati nasibu.... waweza fikiria una perfect fit only to find out otherwise... naona kama ni hivo... na pia kutokana na comments kibao za members nilizo zisoma humu... UANAUME sio lazima uwe defined tokana na maamuzi ulochukua dhidi ya mtu utae muoa.
 

ASHA DII..

Huwezi kusema' uanaume' hauwezi kuwa defined kwa kuchagua mke...
while 'heshima' ya watu wengi zinaanguka au kupanda kutegemea ni mwanamke gani amemuoa
nahata kwa wanawake pia....kuna watu ukishamuona mkewe au mumewe...unajikuta 'unamdharau kiaina'
 


Hio dharau huja tokana na aidha kumjua ama kutomjua vizuri mhusika.... Wee Boss ni mwanaume ambae katika jamii waonekana ni moja kati ya wale ambao katika Jamii kweli ni Mwanaume. Unajali responsibilities.... Ni hard worker... Maybe you drink once in a while but responsibly sio ku kushoboka.... Unajituma katika mambo ya jamii na kujumuika pia...., Ni mwanaumw wa Kweli katika appearance (i.e sio mambo ya kusuka, sijui poda) Ni mtu ambae you think and act on your toes.... In short ni kwamba ni moja wa sampuli chache za wanaume walobaki (idadi ikienda ikapungua); But then at the end of the day you are just human.... You fall in Love na mtu ambae alijulikana ni malaya haswa... But good enough umeweza mdhibiti....

SWALI: Is he less the man just because alioa malaya??
 

i love the way you defined me hapo juu lol
if only it was the honest truth lol ukiacha hiyo part ya kuoa 'malaya....

now tukija kwenye answer....what if nikishindwa 'kumdhibiti' ??????
 
i love the way you defined me hapo juu lol
if only it was the honest truth lol ukiacha hiyo part ya kuoa 'malaya....

now tukija kwenye answer....what if nikishindwa 'kumdhibiti' ??????
Hahaha!!! Boss usinulize kwanini nacheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…