ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,428
- 118,976
teh teh teeeeeeh.
I keep losing marks.
Do I ever gain them with you?
ha ha��‼‼
you're always my numer uno..
teh teh teeeeeeh.
I keep losing marks.
Do I ever gain them with you?
ha ha��‼‼
you're always my numer uno..
okey kumbe hao wengine ni.................................
Haya sema wapi nije, bajaj zinafika
mmmmh.....,..............vidume??
mmmmh.....,.....
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake
Anajua majukumu yake
Anatambua mchango wa mke wake wa kazi
Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri
mbona waguna?
jibu lako