Mwanaume ni yule ambaye

Mwanaume ni yule ambaye

Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.
Stuka! Ana handset ingine kaacha ofisini!!
Either that ama keshawatonya mda gani wasipige.
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo............ Wa hivi ameshazaliwa kweli?

Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake Mh!! Only when she is pregnant. *****.

Anajua majukumu yake......Kujua its one thing. Kutekeleza another

Anatambua mchango wa mke wake wa kazi yeah but how does he show this

Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri does he mean it? Ama anasema ili apewe ka mkopo keshamaliza hela kwenye kilaji




The good men are resting in peace as I write this. Six feet under.
 
drama hizo,maisha ya tamthilia za kifilipino mimi ni mwanamke najua sifa ya mwanaume awe analipa bili na maendeleo kwa ujumla, awe na misimamo,na kulee mahali mtoto anatengenezwa apazingatie hiyo yatosha habari za kukandana wakati kuna sehem za masaji,eti akwambie mzuri kama kigezo wakati hicho ni kitu cha yeye kusema kila wakati na asiposema hakuna effect,ndoto za mchana hizo
 
Ni yule ambaye wakati mke/demu wake akiwa kwenye kioo yeye anapiga simu kutafuta dili.
 
mwanaume ni yule anayejua kupiga game, kumrizisha mkewe na kutafuta pesa kwa bidii zote. hizo zingine chachandu tu.
 
Kwenye password hapo tu esp kwenye call logs tu
 
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.

Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo

Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake

Anajua majukumu yake

Anatambua mchango wa mke wake wa kazi

Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri




Mwanaume wa hivi utampatia wapi..?! Labda kama ni baba ako aliyezaliwa kabla ya uwepo wa kompyuta na smart phones!!
 
Ni yule ambaye wakati mke/demu wake akiwa kwenye kioo yeye anapiga simu kutafuta dili.

aksante kwa maana fupi Ni kwamba mambo yote kifamilia kesha yaweka saws na anaendelea kuzisaka
 
Back
Top Bottom