Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"
Mbona haya ni maradhi sawa na mengine tu si hata mtoto wako kuna kipindi anajiona yeye ni zaidi ya wewe baba yake mbona hata shetani alijiona ni sawa na mungu na wala haijakuwa kweliWana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
Mambo ya IQ hayako gender specific wala nini.
Nadhani kitakuwa kinahusisha mambo ya IQ na developmenttena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume"..
Ni kweli NN lakini kuna hichi kipengele Nadhani kitakuwa kinahusisha mambo ya IQ na development
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"
Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"
Ni kweli NN lakini kuna hichi kipengele Nadhani kitakuwa kinahusisha mambo ya IQ na development
wanawake wakitaka kuenjoy maisha tukubali kuwa sisi si kama wananume kwenye maeneo yote, sisi ni wanawake nao ni wanaume! tuna breasts hawana. tunabeba mimba na kunyonyesha wao hapana. we are mothers and they are fathers; na mengine meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!