Mwanaume ni haki yako kuchunguza simu ya mwenza wako kwa usalama wa ndoa yako!!!

Kuna Jamaa anashinda na sim ya mkewe,lakin mke bado anachepuka tu.Ndo maana nakwambia ni kumuomba Mungu,huku mtaani kuna mambo mkuu.

Imani ni matendo Mkuu !
Unaposema kumuomba Mungu Hilo swala lipo constant lakini haina maana Kwamba usifuatilie mambo ya msingi!
Kwamba ubweteke bila kuonesha kujali Nyendo Za mwenzi wako Hata other family members!
Ndo maana tunapolala au kutoka huwa tunafunga Milango pamoja na Kwamba tunamwomba Mungu atulinde!
Kama ni hivyo basi tuwe tunalala Milango wazi usiku kucha kila Siku Hata mchana Kama Watu wote wakitoka kwenda Kwenye shughuli zao milango ya Nyumba isifungwe kwakuwa tunamwomba Mungu atulinde sisi wenye na mji mzima!
 
This is the best comment of the year
 
Kwanini uogope mwenzako kuchezea sim yako? Hamuogopani kuchezeana vinyoleo iweje uogope kichezea sim?. Kama presha ni matadhi kama yalivyo mengine. Mimi sim ya mke wangu nipo huru nayo sana tu password yangu ni yake, yake ni yangu kwa ufupi tunashea kila kitu. Kasoro kitu kimoja ya kwangu anaogopa kuichukua mpaka aniombe lakini sio kwamba akichukuwa ntachukia hapana. Anaheshim tu kama ana shida nayo anaichukua kama kawaida, lengo la kuchukua ni pale nimpe ruhusa ya kutumia dakika zilizobakia kama hazina kazi na zinakakaribia kuisha mda.
Mke wamtu humwambia kabisa mchepuko usinipigie mpaka nikupigie .nahuwa hawachati watsup namba pia anaijua kwakichwa .Eti huwa nachezea simyake kwani sim inachezewa ??mm MTU anaehangaika namwanamke huwa namzarau sana .
 
Imani ni matendo Mkuu !
Unaposema kumuomba Mungu Hilo swala lipo constant lakini haina maana Kwamba usifuatilie mambo ya msingi!
Kwamba ubweteke bila kuonesha kujali Nyendo Za mwenzi wako Hata other family members!
Ndo maana tunapolala au kutoka huwa tunafunga Milango pamoja na Kwamba tunamwomba Mungu atulinde!
Kama ni hivyo basi tuwe tunalala Milango wazi usiku kucha kila Siku Hata mchana Kama Watu wote wakitoka kwenda Kwenye shughuli zao milango ya Nyumba isifungwe kwakuwa tunamwomba Mungu atulinde sisi wenye na mji mzima!
Nachomaanisha Mimi kumuomba Mungu upate mke anaejielewa,we unafikiri kufunga mlango hyo nyumba yako ndio hautaibiwa.Mwanamke akiamua kukusaliti ,anakusaliti tu cha msingi play part yako.
 
Mkuu watu kamahawa .hata malezi yawatoto ndo huwa wanawaletea ukali nakuwafungia mageti baada yakuwafundisha imani zakiroho .watoto wajue zinaa nikumkosea Mungu.mtoto bora ajue ninaa nikumkosea Mungu so ajue zinaa baba au mama atanipiga akijua kwahiyo akifanya siri anaona kafanikiwa .
 
Mke wamtu humwambia kabisa mchepuko usinipigie mpaka nikupigie .nahuwa hawachati watsup namba pia anaijua kwakichwa .Eti huwa nachezea simyake kwani sim inachezewa ??mm MTU anaehangaika namwanamke huwa namzarau sana .
Ni kweli kabisa.
 
Ya kwako je na yeye haichunguze kujua vimeo vyako.Utakufa kwa presha tuu.Akiamua kukuchiti anaweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom