Mwanaume ni haki yako kuchunguza simu ya mwenza wako kwa usalama wa ndoa yako!!!

Ukibaini amebadilika, kagua. Hakuna kupindisha maneno hapo. Kama mambo yako powa tu, haina haja. But upo huru kuomba ili kufanya mawasiliano hasa wewe unapokuwa huna salio /simu yako inapokuwa inashida/mbovu
 
kukua na kupanuka kwa sayansi na teknolojia kumekuwa na matokeo hasi na chanya katika jamii.

kupanuka kwa matumizi ya simu na mitandao ya kijamii kumeleta changamoto katika mahusiano ya kimapenzi , hii ni kwa wapenzi na wanandoa , ambampo unakuta baba na mama wanaishi pamoja na kushea kila kitu ,hadi password za akaunti za benki ila cha ajabu mwanamme ima nwanamke haruhusiwi kushika simu ya mwingine.

kiufupi mkifikia hapo inakuwa hiyo sio ndoa tena, mme na mke sharti waaminiane kwa kila jambo,

ikumbukwe kuwa wanawake ni viumbe dhaifu(samahani) ndio maana shetani katika bustani ya edeni alimfuata Hawa akijua kuwa atafanikiwa na kweli ilikuwa hivo, hapa kosa lilikuwa kwa Adamu kumuacha mke pekee,hapa namaanisha kuwa mwanamke anapaswa kusimamiwa na kuelekezwa, haiwezekani mke wako awe na akaunti kila social network , na hujui kipi anakifanya huko Mara atume mipicha na mijanaume mibazazi ianze kumsifi ooh wewe mrembo, na yeye anaitikia asante, huu ni upuuzi hakika watamnasa tu, mwanamke anapenda sana kusifiwa, mwanamme kuwa makini

jambo la mwisho mudhibiti mkeo kuwa na account kila mtandao utadhani ni mfanyabiashara,huko hakuna chochote bali ni sehemu ya kufarakanisha ndoa tu,

NB.kuogopa kushika simu ya mpenzi au mwenza wako kwa kigezo cha kuogopa kujitakia presha na ugomvi ni upuuzi wa kiwango cha masters ambao unalinganishwa na mtu anayeogopa kwenda kupima VVU eti kisa akijua atakufa au atapata presha, ndugu yangu ni bora akachunguza ili uweze chukua hatua stahiki, magonjwa yamezidi , michepuko haifai, mungu awabariki,

[AHSANTENI]
Ukibaini amebadilika, kagua. Hakuna kupindisha maneno hapo. Kama mambo yako powa tu, haina haja. But upo huru kuomba ili kufanya mawasiliano hasa wewe unapokuwa huna salio /simu yako inapokuwa inashida/mbovu.
 
nadhani ni sahihi kabisa kushika simu ya mwenzi wako wakati wowote,,, kwani kama anakusaliti halafu ukaacha jushika ndo itabadilika? no bora ukashika ujue mapema ufanye maamuzi maana kuendelea kuishi gizani kwa kigezo cha presha mwisho unaletewa mimba siyo yako au magonjwa kumbe ungeshtuka mapema ingesaidia!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom