Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,430
mtoto huyu vipi?hao mama hawa ahesabie c riziki wajiandae kuoza kwa njemba mwenzie.
Ha ha ha washawasha unawasha sana.
weka picha zao tuone km kweli G-String au chupi za VIP
Walikuwa wanatangaza biashara yao, karibu mwambao kaka.
lazima watakuwa ni side B hao..mwanaume na kikamba wapi na wapi???
Ndio manakebiashara matangazo au sio?Nalog off
mmh, yaani kuna picha naipiga kichwani afu inaungua. Naungana na mdau aliyeomba picha.
Aminia sana. Nalog offNdio manake
Umeona eh! Nalog offmmh! Wauzaji hao.
Tatizo lako unaipiga hiyo picha huku umefumba macho,fungua macho halafu ipige tena. Nalog offmmh, yaani kuna picha naipiga kichwani afu inaungua. Naungana na mdau aliyeomba picha.