Mwanaume mzuri huyu hapa

Mwanaume mzuri huyu hapa

Kuna mmoja aliolewa na jamaa ana pesa ya kutosha inavyosemekana hawakuwahi kugegedana kabla ya ndoa coz mshikaji alikuwa anaishi Mtwara na demu alikuwa anaishi Kigoma. Sasa baada ya ndoa ile siku ya tatu ikaanza mbiilinge bibi harusi anadai taraka bila kusema sababu ikabidi mshikaji atoe taraka kwa shingo upande.

Baada ya kuachika bibie ndio anawasimulia marafiki zake kuwa jamaa ana kibamia yaani hafiki popote kwenye tendo so akaona atajitesa bure.

Ila jamaa last week ameoa tena so sijui huyu bibie aliyeolewa safari anamudu vipi coz mpaka sasa ni wiki imeshakatika wala hakuna kelele.

Unajua unaweza kuwa unajiamini kabisa kuwa una la jang'ombe , lakini ukakutana na mtu ana bwawa lake na wewe ukaonekana kibamia watu wakashangaa, siku nyingine na wewe ukakutana na mwingine akakimbia na chupi wakati uliachwa kwakuwa na kibamia... Kibamia ni relative term, kwako inaweza kuwa kibamia kwa kuwa mezoea kukutana na mahogo , kwa mwingine akawa anakuona una hogo la ajabu...
Hii haihusishi ndugu zetu wa China... 😀😀😀😀😀
 
Ha ha ha ha wanawake hapo tu mnanipa raha nyie na mahtaj yenu
 
Matunzo+kibamia=0

Matunzo yakiwepo halafu sehemu sehemu huridhishwi ni kazi bure kabisa

ndo maana vijana tunapendwa na wake za maboss,,vitambi na kisukari vinawaponza..acha tufaidi
 
I'm so lucky to have this guy called Smart911 for him I will fight..
He is so.....dahhhhhhhhhhh... mengine


Wacha nifunge domo langu
Nina Wivu [emoji21] [emoji16] [emoji18] Eti!! Dah! Na Mimi One day U single Utaniisha[emoji126][emoji813] [emoji124]

.."father G" the Golden Boy...
 
I'm so lucky to have this guy called Smart911 for him I will fight..
He is so.....dahhhhhhhhhhh... mengine


Wacha nifunge domo langu

Inafurahisha sana...

Ni raha sana, pale unapoona mwanamke wako anafuraha kwa sababu you are treating her well... Mwanaume kumuhudumia mwanamke it's not an option...

Ndiyo maans sitoacha to treat you well and treat you wright mahondaw wangu... as long as am breathing i will make i'm making sure am doing all what it takes to make you happy...
 
Unajua unaweza kuwa unajiamini kabisa , lakini ukakutana na mtu ana bwawa lake na wewe ukaonekana kibamia watu wakashangaa, siku nyingine na wewe ukakutana na mwingine akakimbia na chupi wakati uliachwa kwakuwa na kibamia... Kibamia ni relative term, kwako inaweza kuwa kibamia kwa kuwa umakutana na mahogo , kwa mwingine akawa anajuata una hogo la ajabu...
Hii haihusishi ndigu zetu wa China... 😀😀😀😀😀
😀😀😀

So Chinese are naturally vibamia mkuu?
 
Wanaume wachache sana wabahiri ila kina dada tu hamjui, ni kweli kwamba kuna ambao naturally hata uweje wanakuwa ni wagumu hawatoi matunzo lakini wengi inatokana na ushirikiano baina ya mwanamke na mwanaume (though hapa tena inategemea kwani kuna wachache huwa ni matunzo kwa kwenda mbele bila kuangalia other factors but wengi wetu ni wazee wa timing kwa kuangalia huyo partner amekujaje na ndio hapo watu wanaishia kusema "mwanaume matunzo" kumbe kuna wadada wengine ushirikiano without na wenza wao)
 
Mwanaume matunzo bwana dudu hata punda analo
 
Inafurahisha sana...

Ni raha sana, pale unapoona mwanamke wako anafuraha kwa sababu you are treating her well... Mwanaume kumuhudumia mwanamke it's not an option...

Ndiyo maans sitoacha to treat you well and treat you wright mahondaw wangu... as long as am breathing i will make i'm making sure am doing all what it takes to make you happy...
Inafurahisha sana...

Ni raha sana, pale unapoona mwanamke wako anafuraha kwa sababu you are treating her well... Mwanaume kumuhudumia mwanamke it's not an option...

Ndiyo maans sitoacha to treat you well and treat you wright mahondaw wangu... as long as am breathing i will make i'm making sure am doing all what it takes to make you happy...
Inafurahisha sana...

Ni raha sana, pale unapoona mwanamke wako anafuraha kwa sababu you are treating her well... Mwanaume kumuhudumia mwanamke it's not an option...

Ndiyo maans sitoacha to treat you well and treat you wright mahondaw wangu... as long as am breathing i will make i'm making sure am doing all what it takes to make you happy...

Thanks Smart911 love mwanamke matunzo bana na D inahuuuu khakhaakhaa sipati pichaaaa mengine

Wacha nifunge domo langu

Ailavyuuuuu Smart911 my king
 
Kama nimekuoa na sijakukuta na bikira hakika unastahili kibamia pamoja na kutokutunzwa![emoji32][emoji32][emoji32]
 
Back
Top Bottom