Hela huna na dudunya huna hapo maumivu.joanah hahahah sasa hapo utachagua nini matunzo au dyudyu?
Hela huna na dudunya huna hapo maumivu.joanah hahahah sasa hapo utachagua nini matunzo au dyudyu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama nimekuoa na sijakukuta na bikira hakika unastahili kibamia pamoja na kutokutunzwa![emoji32][emoji32][emoji32]
Bora useme ukweli tuMatunzo+kibamia=0
Matunzo yakiwepo halafu sehemu sehemu huridhishwi ni kazi bure kabisa
hahahaha hapo itabidi mtu uogee maji ya mchele yanasaidia kuondoa mkosiHela huna na dudunya huna hapo maumivu.
Nimeipenda hii hqhahahhahaha dyudyu inanguvu kubwa katika mahusiano wanaume tutumie ipasavyoHata ukimuhonga Ferrari, hatokuona we rijali km chumbani ukifunga moja tu chaliiii [emoji441][emoji441].
Maisha mafup haya nipe dyudyu matunzo peleka vituo vya watt yatima.
Joanah napata raha sana na uwepo wako humu unakuwaga muwazi sana unatusaidia wengine hapa tujifunze vizuri matumizi ya dyudyuDyudyu is everything . . .
dyudyu hata bata analo mwanaume matunzo bhana miss chaggaDyudyu is everything . . .
mwanaume pesa hata tango laweza kuwa dudu ni maamuzi tudyudyu hata bata analo mwanaume matunzo bhana miss chagga
tunataka pesaWanawake nashindwa kuwaelewa kabisa yaani
Njia nzur ya kupata pesa ni kufanya kazi ama kufanya biashara.tunataka pesa
Kabisa na kupewa na mwanaumeNjia nzur ya kupata pesa ni kufanya kazi ama kufanya biashara.
Kama huwezi kupewa na mwanaume nenda kafanye kazi, nenda kalime, kafanye biashara. Sasa kama huyo mwnaume unataka akupe hela na hana na wewe una mind set kwamba lazima upewe hela , na imekosekana unaondoka je utazunguka kwa wanaume wangapi ..? Huoni unajipa risk ya kupata magonjwa ya zinaa na ukimwi? Na hata your status inashuka na thamani yako inashuka mana kila mwanaume auona mwili wako kisa kutaka pesa.Kabisa na kupewa na mwanaume
unasema kweli na maneno yako yanaingia sema , nimekuwa mzito kuelewa ... nitafanyia kazi pole poleKama huwezi kupewa na mwanaume nenda kafanye kazi, nenda kalime, kafanye biashara. Sasa kama huyo mwnaume unataka akupe hela na hana na wewe una mind set kwamba lazima upewe hela , na imekosekana unaondoka je utazunguka kwa wanaume wangapi ..? Huoni unajipa risk ya kupata magonjwa ya zinaa na ukimwi? Na hata your status inashuka na thamani yako inashuka mana kila mwanaume auona mwili wako kisa kutaka pesa.