Mwanaume mzima unategea kulipa bili

Mwanaume mzima unategea kulipa bili

Na nyie mmezidi buana, it's a love affair not financial affair.
 
watu wengine, hili nalo umeshindwa kumwambia huyo mwanaume wako suruali....? sasa tukusaidieje?
 
Amekwenda kuhesabu hela chooni ulitaka aibiwe ?
 
Ameogopa kutoa hela mbele yako, maana na nyie mkishaona burungutu tu lazima mlete Invoice!!
 
hahaaaaaaaa ukute uliagiza vyakula vinywaji hivyoooooooo

mtu akazamia chooni na kwenye kapochii una nauli ya kukurudisha unapokaa LOL
 
Jenu ulipotelea wapi wewe...

Nilijua hii ID umeisusa maana huwa nakuona ona sana na ile ID yako tuliyoizoea...
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha Blood pressure ilikua inasoma ngapi!
Na kama ulirusha mate sifa nyingi sana kwa wahudumu wakati wa kuagiza, sipati picha walikupaje za uso!
Experience stiff slops sometimes! Nway kama hukufa it will make you strong!
 
haha cpend wanawake wanaotegemea pesa ya mwanamme utadhan yake. sasa unataka ulipiwe kila kitu.
 
si mumekula nyote, basi na kulipia pia lipieni nyote kama kweli wewe mwanamke unaedai haki ya usawa
 
vp tena kuna usalama huko mbona jazba asubuh asubuh....!!!
 
pole kwa kuachwa kwenye mataa...omba mpesa ulipe bill urudi nyumbani ukapumzike!!!!
 
Back
Top Bottom