Mwanaume mzima unashika shika........!

Duuh! Pole sana kaka! Endelea kuchuna tu, ukipata tena shida ya laptop tumia tena bila ruksa mpka atazoea.
 
wanajaribu kuiga mapenzi ya kizungu,,,hii mbaya sana
 
Nivea siku hizi unakula mboga gani mbona unakuwa jiniazi kiasi hiki??
haya ndio maisha yangu halisi sitaki mume wangu afe aniache kwa presure, mboga sikuhizi nakula ya mbeya naona ni nzuri kuliko ya Arusha,
 
if this what u have said comes from ua heart,if u mean it,then your husband/boyfriend is lucky
for sure he is really lucky and happy endeed.hua mimi sio msaliti wa moyo wangu na siishi maisha ya pretending hata siku moja.
 
wanajua sana na wanawake wengi wanaelewa ,wanawake wako so curious tofauti wanaume, kitu cha kwanza mwanamke akikutana na mwanaume yeye hutafuta kuyajua madhaifu yake tu ili aweze kuishi nawe kupitia madhaifu yako na pale ndipo anapokutawala kirahs tofauti na wanaume husoma mke /gf anapenda nini what ever ili akuridhishe sasa nafikiri umejifunza kitu hapa .this is the way women are ni watu wa kupima sana maji na mguu na akikupata kama huyo bwana hapo juu na ndio kitakuwa chanzo cha kifo chake .jiulize ni kwanini wanaume asilimia kubwa hutangulia kufa kabla ya wake zao kma sio ajali? jibu rahisi sana (hapa sizungumzii gf/bf)
 

Hii imekaa njema sana, ukweli wanawake hutenda kutokana na jinsi wanaume/wenzi wao wanavyowachukulia/ wapa uhuru. Siku zote baadhi ya wanawake hupenda kujua udhaifu wa mwanume na kuutumia kama silaha ya kuwaadhibu hivyo dawa ni kuwa "kuwa mwanaume".
 
Shukuru Mungu mlikuwa kwenye gari la sivyo ungechapwa makofi. Umevuna ulichopanda.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi na mama Ngina tuna share 1. bank A/C
2. E mail psswd
3.Properties & business

But we dont share 1. Phone and its psswrds
2. Lap top and its psswrds

......ndoa yetu imedumu japo kua vikero vidogovidogo haviizidi furaha iliyomo ndani :A S 100: :A S 101:
 
hope my shem/to be will enjoy this love.
kwa muktakabali huu ni wanaume wengi mnateseka na haya mapenzieee????maana nimeandika kitu kidogo sana wala sijafikiri nashangaa kimeonekana muhimu sana,naanza kuwaonea huruma wanaume mnatumia nguvu nyingi sana kuishi na wake zenu badala yakuzitumia kutafuta pesa na maendeleo mengine duh!1kwa kweli familia yangu inawapa pole sana.
 

COPY:: Mtambuzi:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::A S 100::A S 100:
 
Last edited by a moderator:

Sio kihivyo ila nilishangaa wewe kuweka maamuzi ya kiume huku wengine wakikesha kudai haki sawa. Ulichosema ndio silaha ya ndoa zetu...A man will always be, likewise a woman
 
Hahahahahahaahah! We chapamba unamdanganya mwenzio , umchape kwani kawa mwanao, au mtoto, jambo hili si kubwa sanaa, ingawa limemfadhaisha kijana juzi, wanaweza wakaongea na yakaisha,bila ya kupigana .

Ila mm nakuomba Kijana Juzi , usiwe na haraka ya kujua kwa nn amesema hayo maneno kwako ikiwa wewe ni mumewe ,a unafahamu kila kitu. Cha muhimu muite kwa utaratibu muulize alikuwa na maana gani kukwambia hivyo, baada ya kusikiliza utetezi wake, anza kufanya uchunguzi wa kimya kimya ili ufahamu kama kweli ni msafi na anaheshimu ndoa yenu.Hapo utapata ukweli uliofichika ndani ya Hiyo Laptop.
 
Sio kihivyo ila nilishangaa wewe kuweka maamuzi ya kiume huku wengine wakikesha kudai haki sawa. Ulichosema ndio silaha ya ndoa zetu...A man will always be, likewise a woman
Mark my word :hakuna haki sawa kati ya mwanamke na mwanaume never and it will never be.mwanamke kwa jinsi mungu alivotuumba tupo chini ya miguu ya waume zetu.
 
Dah!

Mimi kuanzia leo mtu akiniuliza kuhusu mahusiano, uchumba ama ndoa namtukana!!!!
Full stop.
 
wanajaribu kuiga mapenzi ya kizungu,,,hii mbaya sana

Hayo ndo madhara ya kuoa mijanamke misomi huwa yanajifanya mazee ya haki sawa hadi inaboa na kujikuta yanapoteza hali ya heshima kwenye ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…