Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,261
- 174,577
Sijaongelea mpenzi wangu toka awali ila baada ya kuona hutaki kuelewa kitu ambacho kipo wazi tu nimeamua kugusia mazingira halisi tu pengine itakuwa rahisi kwako kuelewa.
Isitoshe yeye ni mwanamke kama wewe tu.
Pia kuongelea mambo ambayo sina control nayo inakuwa inabaki story tu na tutatiana njaa tu maana huwezi kubadili MO ya mtu mwingine. Kama mtu ameamua kuchepuka milele hata ukimpa alicia keys bado atasaliti tu.
Cha msingi kama mpenzi wake angalia wapi palipopungua uone namna ya kumsaidia kama haitafaa then chapa zako lapa, you are not a tree..😆😆😆 if things arent working the way you want them to jikate.

Ila mimi nashangaa sijui kwanini unajiongelea wewe kama wewe tu na mpenzi wako mbona mimi sijiongelei mimi kama mimi tu na mpenzi wangu? Hebu naomba tutoke kwenye hii ya kusema "mimi na mpenzi wangu tuko hivi na hivi" na tuongelee yaliyoko kwenye jamii kwa ujumla
Ujue hata mimi nikiamua kujiongelea mimi na mpenzi wangu tu basi sina la kulalamika hapa maana haya yote ninayoyalalamikia mpenzi wangu hana hata moja nawashagaa nyie mnaodhani kuwa ninayoyalalamikia hapa ndo ninayoyapitia mimi nawasemea tu wanawake wenzangu ambao wana wapenzi wenye sifa hizo ninazozilalamikia
Kwahiyo naomba na wewe kama hautojali usiongelee ya mpenzi wako tu bali ongelea na ya wengine waliopo kwenye jamii ambayo najua fika kuwa unayafahamu vizuri tu hasa hili janga la wanaume wenzio kuchepuka japo wewe unasema hauchepuki
Lakini hebu niambie ni wanaume wangapi kwenye jamii hawachepuki kama wewe? Ukizingatia kuna wanaume wanakiri kabisa kuwa hata wapate wanawake wenye sifa zote nzuri wao kuchepuka ni lazima sasa hao nao unawaongeleaje? Kama hautaki kuongelea yanayoendelea kwenye jamii basi pia siyo lazima ni ombi tu siyo amri