Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

Tafuta hela yako..mahusiano sio biashara...ukikubali kula hela ya mwanaume asie mme wako wewe ni malaya au changudoa aliechangamka...
Tafuta pesa uheshimike acha maneno mingi we jamaa!!!! Mwanaume kuhudumia buana!
 
Ukipenda kula na wewe kubali kuliwa tena kotekote..nyuma na mbele ..mbele na nyuma...nyuma na mbele..kubali kugeuzwa geuzwa kama samaki weye
Naliwa vizuri mnoooo tena kiroho safiii kabisa..Na Navopenda kugeuzwa geuzwa sasa aiiiihhhhhhhh!!!!! Umelenga mulemulee! Na ananigeuza kisawasawaa mpaka maji naita mma! Kwa jinsi alivyojaliwa nakataaje kwa mfano!!!
 
Alikula vyangu na hakunipa

Hakula changu aliwapanga kama folen
 
Wanaolalama njaa kali Wii wenye pesa zao Wala hauwaoni wakilalamika!!
Hilo nalo neno![emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!!mwanaume kamili halalamiki kwanza huombii!wapewa tu!!!hawa pangu pakavu,uchi wanataka ,heshima wanataka na bado wanalalamika kua tunawaomba kaahh!

Asili ya mwanamke kupewa kila kitu,na ndo maana wanasema mwanaume ni kiongozi wa mwanamke!
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Hivi hii 10K ni elfu kumi au laki au million?

Maana nimeshangaa kuona jamaa anawezaje kumpa mwanamke anaempenda elfu kumi?
 
Wanaume wa siku hizi ni walalamishi Sana Yani. Mtu akitoa 10 tu analalamika mpk huku jukwaani kisa kaombwa ela na mpenzi wake. Na uku mbunye anapewa wkt wwte ule, heshima anapewa km yote. Jmn km unalalamika mkiwa wachumba kumuhudumia, ukimuoa familia utaiweza kweli?. ... Sijui tunaenda wapi. Tafuta pesa kijana, ukiwa na pesa huwez ata kuja uku jukwaani kulalamikia kuwa umeombwa ela na mpenzio.
 
Mpenzi ambaye ndio kwanza mmefahamiana hawana hata mwenzi kudinyana bado. Uniombe hela harakaharaka hivyo?
 
Hilo nalo neno![emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!!mwanaume kamili halalamiki kwanza huombii!wapewa tu!!!hawa pangu pakavu,uchi wanataka ,heshima wanataka na bado wanalalamika kua tunawaomba kaahh!

Asili ya mwanamke kupewa kila kitu,na ndo maana wanasema mwanaume ni kiongozi wa mwanamke!
Kabisa wii... Hawana namna watafute tu hela waache blah blah!
 
Back
Top Bottom