Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

Hii tabia ya kuacha kuihudumia familia hususan mke (mwanamke) itawaliza sana vijana. Muundo wa familia za kiafrika ni mume kumtunza mke vinginevyo itasumbua sana.

Mwenye kisu kikali ndiye anayekula nyama iliyonona
 
Bosslady mm niko hapa ...umeamkajeee bosslady
Niko gudooo bosiii .. habari za wewe?? Naona mna kikao chenu hapa bosi sijui niwapishe kwanza 🚶🚶🚶🚶😜🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hii tabia ya kuacha kuihudumia familia hususan mke (mwanamke) itawaliza sana vijana. Muundo wa familia za kiafrika ni mume kumtunza mke vinginevyo itasumbua sana.

Mwenye kisu kikali ndiye anayekula nyama iliyonona
Kabisa bro uafrika ndivyo ulivyo japo kila kitu kikizidi huwa ni kero ila nijukumu letu kuwatunza
 
Kwema?

Mwanaume mwenzangu mwanamke anayekupenda kweli kabisa kutoka moyoni hakuombi helaa niamini mimi na ata akikuomba hela hakuombi direct kuna maneno tuu atakuambia alafu utajiongeza na ni mara chache saana atafanya hivo.


Sasa wewe ukiona unamtongoza mdada huna nae ata week kashaanza kulilia shidaa duuh huyo hakufai achana nae atakusumbua saana

She is a gold digger
Tumia pesa mtaalam ndio kazi yake.Niliwahi kumtongoza demu flani hivi nikala K Kisha akaomba 20K nikampa.sikujutia nilipiga pesa wiki nzima kijiweni kwangu Hadi Nika mtafuta Tena na kumpa 40K.
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Wewe jamaa usirudie tena kumtongoza mwanamke kwa ahadi ya ndoa. Mbinu za kitambo hizi zinafanya uonekane desperate na mshamba ndiyo maana unachajiwa ada ya kua miyeyusho na huyo binti.
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji134][emoji134], kama anaogopa kumuhudumia huyo mwanamke kwa kumpa pesa mwambie ajiandae kwa wale wanawake 50/50 and still watamuomba pesa.
 
Wanawake tuwahonge jamani...ile site ilibumbwa kwa ustadi mkuu ni patamu haswaa...tuwahonge tu kwa kadri ya uwezo wa mtu..
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Na jamaa huyo ni wewe
 
Kwema?

Mwanaume mwenzangu mwanamke anayekupenda kweli kabisa kutoka moyoni hakuombi helaa niamini mimi na ata akikuomba hela hakuombi direct kuna maneno tuu atakuambia alafu utajiongeza na ni mara chache saana atafanya hivo.


Sasa wewe ukiona unamtongoza mdada huna nae ata week kashaanza kulilia shidaa duuh huyo hakufai achana nae atakusumbua saana

She is a gold digger

Ni kweli, lakini ni mbinu ya Kijinga Sana
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Mwambie jamaa yako mke hatafutwi barabarani,mitandaoni,kwenye club,au makaburini..
 
Back
Top Bottom