Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

Mwanaume mwenzangu soma hapa shutka

Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Tafuta hela dogo....yaani elfu 10 ndiyo unaharisha hovyo humu?
 
Sijamaanisha kwa haraka haraka ivyo. Mkiwa mna muda kidg
Hana lolote huyo, mi ni mwanaume lakini siogopi kamwe kuombwa hela. Mbona sisi mbususu tunaomba haraka haraka iweje hela unataka isubiri mpaka muda upite? Mimi nikitongoza nakua nimeshaandaa na bajeti kabisa ya kuhudumia sitaki ujinga. Kutongoza ni project lazima iwe na fungu.
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
Huyo jamaa ni wewe mwenyewe husi zunguke mbuyu
 
Hivi hii 10K ni elfu kumi au laki au million?

Maana nimeshangaa kuona jamaa anawezaje kumpa mwanamke anaempenda elfu kumi?
Mwanamke anae pendwa na anae tarajiwa kuingia kwenye Ndoa apewe shilingi ngapi mkuuu ili ueleweke unampenda?
 
Mpe kulingana na uwezo wako lakini ukimpa hivyo vi 10k halafu unamsema ni uduanzi mkubwa sana. Hizo ni za voucher tu asee maana hapo hawezi kununua kitu zaidi ya vocha.
 
Hapo hamna mwanamke maana siku jamaa akikosa hatamuelewa
Ni kweli Mkuu mwanamke wa Kuoa huwezi kumwaproach kwa hela ukategemea Akae ni mzigo. Wanawake wanaotaka Kuanzisha Familia wawe serous vinginevyo hakuna kijana ambaye Amebalehe akili ataoa wa aina hiyo. Nawashangaa siku hizi hata wanaume hawapo na wao wanaimba wimbo mmoja na wanawake Ati "tafuta hela" kuna mwanaume ambaye anaoa asiwe amejiwekeza? Jf ya Zamani haipo tena vijana kama mabinti
 
Kamoja jana nikakatumia SMS vipi kakaniambia "Tuma hela " nikasema Astaghfirullahi!
 
Mpe kulingana na uwezo wako lakini ukimpa hivyo vi 10k halafu unamsema ni uduanzi mkubwa sana. Hizo ni za voucher tu asee maana hapo hawezi kununua kitu zaidi ya vocha.
Kwani kabla ya hapo alikuwa anayaendeshaje Maisha? Sikatai kupewa kwanini mpaka aombe? Kwani huyo jamaa ni mwelewa anajua wajibu wake! Lakini kwanini kitendo cha kumwaproach tu tayari anaeleza matatizo ya uchumi kwani anauza? Vipi wewe mke ulimpata kwa njia hiyo ya kumnunua? Pole sana huo sio upendo ni kununuana na kama bado hujaoa basi fikiri sana kama mke anatafutwa kwa style hiyo utafeli mapema
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?
We pambana nao huo ni mzgo wako usipende kutumia mgongo wa wenzako kuelezea shda zako.
 
Kuna mmoja jamaa hana nae hata wiki mbili walifahamiana barabarani na baadae wakajakujuana kumbe wanajuana kutokea kwao huko Moshi,

Jamaa akamwa proach binti kama atamuoa serously jamaa anaamanisha! Akamdokezea Machache jamaa anataka uhusiano wa aina gani si wa kupiga na Kuondoka.
Siku wamekutana Kwenye sehem ya Kinywaji dada analalamika Anadaiwa kodi mara ges Imekata!!

Ikumbukwe hapo jamaa alishampa vihela kama Ten Hivi na siku amekutana nae kwenye kinywaji pia Alimpa kitu kama nauli ya ku arrive there! Juzi demu kafiwa na anko wake jamaa kampa 10k kama nauli ya kwenda Msibani, juzi demu anaomba Atumiwe vocha! Jamaa hakutuma! Dem akawa kama amemaind! Akatamtakia jamaa usiku mwema saa 06pm!

Hivi huyu anaeza kuwa mke kweli kwa Jamaa?

Si umesema anatokea Moshi? Huko wako kibiashara zaidi.
 
Hana lolote huyo, mi ni mwanaume lakini siogopi kamwe kuombwa hela. Mbona sisi mbususu tunaomba haraka haraka iweje hela unataka isubiri mpaka muda upite? Mimi nikitongoza nakua nimeshaandaa na bajeti kabisa ya kuhudumia sitaki ujinga. Kutongoza ni project lazima iwe na fungu.
Apo sasa. Tatizo nahisi ni pesa tu mkuu
 
Kama issue ni kukagonga tu tuma mkuu hiyo haina shida
Wala shida siyo kumpa lakini nilishangaa tuu alivonitumia message "tuma hela" very short. Bila mazungumzo yeyote labda kwamba ana shida fulani au vipi nikabaki nimeduwaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Biblia ilisema tuishi nao kwa akili ,je , je kuongezeka kwa wanaume wanaolialia onaonyesha akili hamna kizazi hiki??
 
Back
Top Bottom