Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

Mimi ni mwanasiasa, kipato changu sehemu kubwa kinaenda kwenye matatizo ya wananchi, wapiga debe na michango ya ujenzi wa chama. Nyumbani kwangu ni kama kambi ya wakimbizi, wagonjwa wa jimbo zima wanaokuja muhimbili wanafikia kwangu, wanafunzi wa chuo wanaotokea jimboni kwangu wanafikia kwangu kabla hawajaripoti chuo, walimu wakija kufuatilia malimbikizo ya mishahara yao wanafikia kwangu, gari yangu imekuwa ndio gari ya kusafirisha watu wote wa jimboni wanaofariki wakiwa Dar,. Vipi bado utanipenda?

Kazi IPo!
 
Rangi inanifukuza kwenye mchuano hivi hivi, ngoja niwatafute jamaa zangu wakongo nijiloroge ili nimpate huyu ntoto.
Nitakupm nikishaongea nao wakinihakikishia kubadilika rangi na kuwa white
 
Hujui kuwa masharobaro ndo habari ya mujini..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa mbona hujajitaja weye? Pengine nawewe sharobaro tu. Mfupi kama kijiko cha chai, mweusi kama your school shoes, mnene kama gunia la mahindi. Niendelee? Weka picha na wewe ulivyo alaah
 
tatizo wanawake wa humu JF wanaonekana kama wote wezi tuu cozi unaweza kuta mtu ameweka thread ukicheck unakuta karibu sifa zote unazo halafu ukiPM wala hata hakujibu na wala hakupi feedback zozote wanaume walio single tuko wengi sana na tuko serious ila magumashi ya kutuuzisha sura na kutaka kupima akili zetu bila kutoa feedback ndo maana wanabaki kuwachora

unampotezea tu
 
Tuchukulie hizo ni sifa za "first choice" sasa ulitakiwa uwe na sifa za 2nd choice pia. Plan B muhimu sana katika mambo mengi.
 
Kweli wewe uko Sawa? Kuna vigezo na masharti ya Kuwa ukijiunga jf inakupasa ukae mda Fulani ili utafute mchumba? Kama huna vigezo hapo juu tulia.! Kuna wenye bahati zao!

Mmmh unaonekana mkali. Nilitaka nijitokeze maana sifa zote hapo juu ninazo, na miaka miwili baadaye nakuwa daktari.
 
Hii inawalakinihuko mtaanikwenu,kanisan,kazini,chuoni hujampata anaekupenda mpaka huje hum jf? Utaletewa masiara mpk bas
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

Chema chajiuza kibaya chajitembeza!
 
Ninavyojua mimi demu kama ni mkaliii lazma atakuwa na bwana sasa wewe nina walakini na wewe (umbolako,tabia,sura,) htr!
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!


Sifa zote ninazo dada na ninatafuta mchumba, ila ningependa kujua kwa upande wa kiimani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom