Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

kweli wewe uko seroius umeingia2 jf nakuanza kutafuta mchumba mbona umri wako hujataja

Wanakimbia 'Facebook' kule wanaume wote wakopaji tu....wanaambiana ukitaka 'mabuzi' yapo JF! maGreat Thinker kaeni mkao wa kuchunwa...
 
Wanakimbia 'Facebook' kule wanaume wote wakopaji tu....wanaambiana ukitaka 'mabuzi' yapo JF! maGreat Thinker kaeni mkao wa kuchunwa...

Kijana!Sio kila kikombe cha Kunywea chai, vingine ni vya kupigia mswaki! Kama umezoea kuchunwa Usiambukize wengine ngozi ya Ng'ombe!!!
 
Kwenye rangi hapo pamenikosesha my wife wangu. Mie mweusi, ila siyo tiiiiii.

Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!
 
Dini je au yeyote mm muislam na nipo teyari kufunga ndoa na ww ndani ya miezi 2 ijayo.
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!
 
Unatafuta mme alafu huulizii dini au dhehebu? Au unataka bf? Ni angalizo tu.
 
Tafathali kaka! Masihara weka pembeni! Don't make me report you spam!

Kumbe dada hujui, ooooho! Huku vichwa vinafikiria mambo mazito na vinapopata nafasi ya mada rahisi kama hii, ni swaga kwenda mbele. Sitaki unijulishe, ila ukifanikiwa (kama kweli ni makudi yako) weka post nyingine ya kwamba umempata. Chezea JF wewe, watu wamezoea kunywa bingwa unawaletea mbege.
 
nadhani hizi sifa zote nafit isipokuwa ya mwenye kazi, so make sure u find job for me then its gonna easy to marry and this npo seriously kwan nimemaliza chuo kikuu na sijapata kaz na nahitaji wife mwnye vision and mission ya life. yaani ukiassure job mi wekend tunaenda kwa wazazi no discussion
 
Nadhani dada huyu ana kasoro ambazo hajaziweka hadharani zinazomzuia kupata right husband (I am sorry to say so). Ninavyojua serious Men & Women in relationship are so scarce to be found KWA HIYO huyu dada angekuwa MWAMINIFU angekuwa lulu (angepiganiwa na wanaume) na asingehitaji kujitangaza katika JF ili kupata MUME!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom