Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

duuuuh oky me nipo na sifa zote ninazo ni pm wewe kama utojali nipo kijitonyama karibu na shule ya mama salma kikwete
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

All the best! Sifa zote zipo! Sema too late
 
Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

1; Single
2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe
3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana
4; umbo la kiume sio bonge wala kitambi
5; umri kuanzia 25 - 35
6; awe na Msimamo
7; awe Anajua kujali
8; awe na kazi.

Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!

Mi nipo nina sifa zote hapo juu,nipo Mwenge,ni pm nami nipo kwenye mchakato wa kumtafuta yule ambaye wa ubavu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom