Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,216
- Thread starter
- #181
One love.Ni kweli kabisa
One love.Ni kweli kabisa
Samahani.Wanaume wote wanaojua kutongoza hasa marioo wana sifa hizi. Ukisema tusiwasikilize wavaa milegezo, masupastaa na watoto wa vigogo n.k. Nao wana mioyo ya nyama na uwezo wa kupenda. Acha unyanyapaa; kila ndege atue kwenye mti wake.
Katika sifa zote hizo, huyo mtu hayupo charming. Hapo dada zetu baadhi wamem disqualify kama sio charming.MWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYA
Nimekuwekea hapa zisome Tabia za mwanaume mwenye malengo na wewe.
1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli.
2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu.
3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume!
4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu!
5. Hakulazimishi kufanya mapenzi. Anakupenda sana kiasi kwamba hawezi kukulazimisha jambo ambalo hauko na hiari nalo. Yupo karibu na wewe wakati wote na sio tu anapokutaka kimapenzi, huyu ni bonge la bwana.
6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda!
7. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati kutoka moyoni mwake ya kukufanya uwe mkewe.
Hizi ni moja ya dalili kwamba mwanaume wako anakupenda na anataka atengeneze future pamoja na wewe. Usikate tamaa juu ya mwanaume wa aina hii.
Hao wenye sixpack sijui eight pack, wabeba vyuma, wavaa milegezo, wanyonya midomo na mahandsome wavaa hereni, waume za watu, masupa staa, watoto wa vigogo, hawatakusaidia lolote, utabaki ukiumizwa tu moyo wako.
Kabla hujajipendekeza kwa wanaume wa aina hiyo, jiulize wanawake wanzako wangapi wameshajipendekeza kwa sababu ya hizo pesa zake, hivyo na wewe unajiongeza kwenye foleni!
Mvumilie mwanaume wako, anazo ndoto njema, mapenzi ya kweli ni vigumu sana kuyapata. Ila pesa na mali ni rahisi sana kuzipata kama utajibidiisha.
Usipende mitelemko, mitelemko mingine ni njia ziletazo mauti! - Ukishikwa shikamana, ukipendwa, pendeka!
"Don't date a rich man, date a GOOD MAN, Good man will spend his life trying to keep u happy, no rich man can buy that!"
Pamoja sana ubarikiweasante ujumbe mzuri
SafiKama Mimi tu...wala simulazimishi Ku do
Mapenz hayana formulaKatika sifa zote hizo, huyo mtu hayupo charming. Hapo dada zetu baadhi wamem disqualify kama sio charming.
ha ha ha tobaaaa basi inabid tutafute vigezo vipyaammmh sio kwa karne hii iliyo jaa uigizaji, mtu hashindwi kufanya hayo yote na bado hana malengo na wewe.
Wengine anakupigia simu mfuko ukiwa mtupu.
Ningepata mwanamke kama huyo
Mwenzako amekuambia mwanaume wa kweli mkuuNingepata mwanamke kama huyo
AminaMtu anaweza fnya hyo yte bt end of the day pia akabadilika cha msingi muombe Allah akupe Mke bora ama Mme bora
Ni vyemaNo 3 & 5 kdg zinaweza zikanishwawish