Mwanaume mwenye malengo na wewe utamtambua kwa haya

Amesisitiza anakusaidia hela pale unapokuwa UMEKWAMA KABISA. Sio mazoea kila siku mizinga hujakwama just unataka kubadili style za nywele tu na kudandia kila mtindo unaoingia mjini
Ndio kukwama kwenyewe huko.
 
Hayo uliyoongea ni sahihi lakini muda mwingine mwanaume anayeyafanya haya anaweza kuonekana muigizaji endapo akakuta mwanamke hana muelekeo itabidi ajiengue, sasa akisepa utasikia alikuwa ananiigizia kumbe kenyewe hakajatulia tu.
 
Usipende mitelemko, mitelemko mingine ni njia ziletazo mauti! - Ukishikwa shikamana, ukipendwa, pendeka!

"Don't date a rich man, date a GOOD MAN, Good man will spend his life trying to keep u happy, no rich man can buy that!"

What you've said is true. However, kuna wale watakuambia au kukufanyia mambo Fulani ili wapate kufaidi wao wenyewe. Mifano...

1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje.

Huenda anatumia post pay service. Anakupigia kumaliza bundles kabla mwezi uishe... Utajuaje?

2. Anakutembelea mara kwa mara...

Huenda ako free akasema ajikeep busy... Au hana marafiki... Au long distance relationship..

3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale.

Huenda ni "long term investment"... Social status yake mnaijenga bila kujua...

4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole...

Being a gentleman never runs out of style! Au usishangae amebet na rafiki zake nani atakupata wa kwanza... Itamlazimu akuambie exactly what you want to hear and how you want to hear it

5. Hakulazimishi kufanya mapenzi.

Utajuaje kama kuna side "B", chic mwitu, chips funga na wengineo? Utajuaje jamaa kajipanga mpaka na timetable ndio msijuane au mpatane?

6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa...

Ushawahi kuona wanasiasa wakiendelea kumwaga pesa baada ya uchaguzi? Chunga sana wakati wa campaign!

7. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae...

Ushawahi kununua kitu kwa sababu aliyekuuzia alikueleza kina uwezo fulani then ukifika home unagundua alikudanganya? Lugha ya biashara wengi siku hizi wanatumia! Future yako sahau ila yake umeshamsaidia

Kwangu mie, naona bora tu tuwe makini...

Do you know there's a player who has read this good advice you have given and intends to use (abuse is more like the word) it to lie to more innocent good girls out there?
 
What you've said is true. However, kuna wale watakuambia au kukufanyia mambo Fulani ili wapate kufaidi wao wenyewe. Mifano...

1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje.

Huenda anatumia post pay service. Anakupigia kumaliza bundles kabla mwezi uishe... Utajuaje?

2. Anakutembelea mara kwa mara...

Huenda ako free akasema ajikeep busy... Au hana marafiki... Au long distance relationship..

3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale.

Huenda ni "long term investment"... Social status yake mnaijenga bila kujua...

4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole...

Being a gentleman never runs out of style! Au usishangae amebet na rafiki zake nani atakupata wa kwanza... Itamlazimu akuambie exactly what you want to hear and how you want to hear it

5. Hakulazimishi kufanya mapenzi.

Utajuaje kama kuna side "B", chic mwitu, chips funga na wengineo? Utajuaje jamaa kajipanga mpaka na timetable ndio msijuane au mpatane?

6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa...

Ushawahi kuona wanasiasa wakiendelea kumwaga pesa baada ya uchaguzi? Chunga sana wakati wa campaign!

7. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae...

Ushawahi kununua kitu kwa sababu aliyekuuzia alikueleza kina uwezo fulani then ukifika ukifika home unagundua alikudanganya? Lugha ya biashara wengi siku hizi wanatumia! Future yako sahau ila yake umeshamsaidia

Kwangu mie, naona bora tu tuwe makini...

Do you know there's a player who has read this good advice you have given and intends to use (abuse is more like the word) it to lie to more innocent good girls out there?
Yap umakini unatakiwaaa hasa kwa kina dada.
 
Back
Top Bottom