Mwanaume mwenye gubu

Kidhi mahitaji na matakwa yake ipasavyo, hali hii haitatokea tena. Msikilize na umsikie.
 
jeuri na utoto wako pia vinachangia.inaonekana una utoto sana. ule utoto wa ukitoka kunya unachambishwa. grow the hell up.
 
Ushauri mtamu huu


Ajitizame kama yeye anampenda tu

Asahau na kupuuza maneno yake pindi akifoka

Uzuri wa wanaume aina hii mara nyingi huwa na mapenzi ya kweli

Kitu kidogo anafoka weeee anakupa block unatulia unambembeleza akitulia unamwambia alipokosea mnasonga hivyo hivyo

Jamaa anampenda na ana wivu sana amvumilie tu
 
Na mpaka mtu anakublock means anakupenda na hawezi jizuia, ubaya mmoja binadam tuna mapungufu mengi sana waweza ona huyu yuko na gubu ukaamua kuachana naye anaekuja hujui atakuja na kubwa gani na utawaacha wangapi, unavumilia tu kosa kubwa kuyaweka rohoni maudhi unayoyaona au kufanyiwa yan ukiwa mtu wa kupotezea tu mnaishi unakua uneweza kucontrol hali
 
Kweli Hakuna mkamilifu japokuwa kuna wenye mapungufu mengi

Lakini kama shida ni hizo alizonazo amzoee kama anampenda kweli mbona ni madogo tu sababu huyo mwanaume anampenda kwa dhati
 
Kweli Hakuna mkamilifu japokuwa kuna wenye mapungufu mengi

Lakini kama shida ni hizo alizonazo amzoee kama anampenda kweli mbona ni madogo tu sababu huyo mwanaume anampenda kwa dhati
Pengine alitarajia huyo mwanaume awe kama alivyo nasemea matendo kitu ambacho hakiwezekani, kwa kweli avumilie tu

Umesema vyema
 
Mkuu we ndo una gubu original
 
Wewe mwanamke weeee kuna motoooo shauri yako ,endelea kudanganya tu[emoji23][emoji23]

Nilikumisimo sijui naww ulinimisimo??? Vipi ule Mkakati mkubwaaaaaa wa maendeleo ya Taifa, umeishia wapi???


Ukipata muda ,unicheki kule kama hujali.
Mic u soooooooooo much....[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
 
Achana nae,kwani mwanaume yuko peke yake...
Tafuta mwingine hapo mtaani kuna vijana wana ukame na hawajui wataipata wapi!! Ye si anasusa susa bwana..!!
Kwakweli mkuu
 
Dah wadau na ujanja wangu wooote eti sijui gubu ni nini!..
Naombeni mnieleweshe
Gubu ni nini???? ..na mtu mwenye nalo anakuwaje???
Mkuu cjui nilielezee vip
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…