Mwanaume: Mpe mkeo tabasamu la milele

Huu uzi mbona umepoa wakati ni nondo hivyo!!
Heaven Sent
Nalendwa mlipita kipande hii?


Tena nondo haswa, nili miss.
Kuna kitu niligundua juzi kati hapa, kuna wanaume wanakuwa watu wazuri na wema kwa watu wa nje lakini si kwa wapenzi wao inashangaza sana kwa kweli. Halafu mara nyingi unakuta hawataki kuwaacha and at the same time wana wa treat like sh*t. Mtu kama umemchoka si mwache aende!

Nimependa sana hii ya kumpa mkeo tabasamu kama ulilompa siku ya harusi mbele ya umati.
 
Hivi unaanzaje kuwa mwema kwa watu wa nje zaidi ya kwa mpenzi wako!!! Ili ugundue nini!!
 
Mi hii avatar yako tu, hua nacheka sana...kila comment lazima niisome afu nirudi kuangalia avatar,[emoji12] [emoji12] ..but umenena vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…