nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Ukiongea sana pumba lazima uongee pumba...ukishajua ku calculate what to talk basi wewe hauwezi kuwa kwenye kundi la wongeaji; waongeaji kila mada wanachangia hata kama hawaijuhi; hata kama hawamjuhi wanaeongea nae ana uelewa upi etc...wataongelea hata Isidingo TMK. Lol
Ila kunata hakuna uhusuiano na kuongea, kuna mwingine haongei ila hajui kunata kwa maana hawezi kujicontrol kwa kitu chochote, na mwingine ni muongeaji ila ana nata au labda sielewi maana ya neno kunata, ki ufupi binadamu ni ngumu sana kumuelewa, nimesema hivyo maana kuna wanao amini mtu mcheshi na muongeaji ni hatari sana akibadilika ana kuwa kinyume chake. so hakuna formula ya moja kwa moja kwa binadamu. Au pia kuwa man of action hakuna uhusiano wa kuongea au kutokuongea. Mie sina tatizo la mtu kuongea ila tatizo kwangu je huwa anaongea nini, wakati gani na wapi?[/QUOTE]