Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mkimya! Mwanaume mkimya ndo mpango mzima, i kind of ind it Sexy! Controversial! Undefined! Cool and Reserved.
You cant tell what he is thinking, you will always be guessing. Pia mkigombana ananyamaza tu unatoa single za rap na rnb ikibidi hata country yeye anakuangalia tu machoni hatii neno!
Afu wanakuaga more of actions. TALK IS CHEAP!!!!!!!!!!
Du! Tena awe anasalimia kila nyumba mtaa mzima.
Mimi ni mtu wa kusikiliza zaidi kuliko kuongea ila nina baadi ya marafiki wangu ambao ni waongeaji sana. Ninachojifunza mara nyingi kwa hawa marafiki zangu ni kuwa ili waendelee kuongea kwa muda mrefu kuna hadithi au jokes nyingi sana ama wanazirudiarudia au wanazibadilisha kidogo na kuzileta kivingine. Ukikaa naye baada ya muda utagundua kuwa kila hadithi na utani anaoleta ulishausikia kabla. Lakini pia katika wanayoongea kuna mambo mengi ambayo huwa hayana ukweli sana bali yanasemwa kupitisha wakati. Mimi binafsi siwezi kuongea mambo nisiyokuwa na uhakika nayo sana kwa sababu ya kupitisha wakati tu.
Mcheshi na mpole cio muongeaji hadi anakera
ukweli mtupu....waongeaje wengi ni waongo .....na wengi wanaopenda waongeaje manake wanapenda kudanganywa
Mkimya! Mwanaume mkimya ndo mpango mzima, i kind of ind it Sexy! Controversial! Undefined! Cool and Reserved.
You cant tell what he is thinking, you will always be guessing. Pia mkigombana ananyamaza tu unatoa single za rap na rnb ikibidi hata country yeye anakuangalia tu machoni hatii neno!
Afu wanakuaga more of actions. TALK IS CHEAP!!! Nimekupenda ghafla..........!
Mie hapo sijaelewa huo uhusiano wa kutokuongea na kuwa expensive, au alikuwa ana maanisha huo u expensive kwenye nyanda ipi?Kuna siku za karibuni Lusekelo (nadhani ni Mchungaji kama si Mtume; sina uhakika) aliwaponda vibaya mno wanaume waongeaji. akasema wawe expensive siyo wakija rafiki wa mkeo wewe unakuwa main speaker. salimia nenda room.
Mie hapo sijaelewa huo uhusiano wa kutokuongea na kuwa expensive, au alikuwa ana maanisha huo u expensive kwenye nyanda ipi?
Ila kunata hakuna uhusuiano na kuongea, kuna mwingine haongei ila hajui kunata kwa maana hawezi kujicontrol kwa kitu chochote, na mwingine ni muongeaji ila ana nata au labda sielewi maana ya neno kunata, ki ufupi binadamu ni ngumu sana kumuelewa, nimesema hivyo maana kuna wanao amini mtu mcheshi na muongeaji ni hatari sana akibadilika ana kuwa kinyume chake. so hakuna formula ya moja kwa moja kwa binadamu. Au pia kuwa man of action hakuna uhusiano wa kuongea au kutokuongea. Mie sina tatizo la mtu kuongea ila tatizo kwangu je huwa anaongea nini, wakati gani na wapi?Kwa maana ya wawe wanaringa bana....ujue ni sifa kuambiwa mumeo ananata...Lol
mkimya! Mwanaume mkimya ndo mpango mzima, i kind of ind it sexy! Controversial! Undefined! Cool and reserved.
You cant tell what he is thinking, you will always be guessing. Pia mkigombana ananyamaza tu unatoa single za rap na rnb ikibidi hata country yeye anakuangalia tu machoni hatii neno!
Afu wanakuaga more of actions. Talk is cheap!!!!!!!!!!