Mwanaume mashine

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,175
Reaction score
829,138


nimeangalia hii picha nikacheka kweli kwakuwa yaliyoandikwa juu yake hayafanani kabisa na body language ya wahusika hasa dogo ambaye sura yake inaonekana vizuri...
nimejikuta naukumbuka wimbo wa mwanaume mashine

Usafi na utanashati ni sifa muhimu kwa mwanaume, na wanawake wengi huvutiwa na mwanaume wa jinsi hiyo, si lazima kuvaa nguo za gharama LA haha bali nguo za kawaida kabisa lakini ziwe safi na kwenye mpangilio sahihi.... Bila kusahau sekta muhimu sana ulaji tunda.... Mwanaume kamili huwa na kisu kikali kinachojua kukata vema

Shida ya vijana wa kileo ni kwamba wanadhani mvuto utanashati na usafi ni kufanya scrubbing, kusuka nywele, kuvaa hereni, kutinda nyusi, kupaka poda, kujipulizia manukato ya kike, kubana sauti, kuongea singeli na ngeli za kiingereza, kuvaa nguo za kubana, kumiliki smart phones na gari, kula chips mayai na kuku na pizza, huku wakiacha kabisa kula ugali....

Hawa automatically visu vyao hugeuka butu kwakuwa badala ya kunoa makali wao hukazana kurembesha mpini na wanapofika buchani holaaa


Mwisho wa siku wakichapiwa wanaishia kulialia... Kwa jinsi hali ilivyo mbaya hakuna jinsi zaidi ya kuandaa madarasa ya kuwafunda wadogo zetu wa kiume



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya hayo mwanaume Mashine inayochapa kazi bwana. Sio pesa, mali, mara sijui kifua kimefanyaje... mara six pack sijui nini, mambo kibao.... Lakini kama mashine haipigi kazi ni bure kabisa.
 
Hahaha, hiyo sura hapo haiendani na maneno yake. Kwanza anaonekana mwenye hofu, ameanza kuuogopa huo mzigo. Hapo sana sana ni kimoko tu.
 
Mshana kwani dogo sura yake iPoje mpaka I siendane na maneno??


sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…