NONGWA
Senior Member
- Mar 10, 2012
- 142
- 116
Aisee walioowa na kuolewa watanielewa hapa kwanini nasema mwanaume tafuta pesa. Wikiend inakuwa ngumu sana pale ambapo huna hela yaani hawa wamama hawana adabu watakupigisha hata deki aisee.
Pesa pesa pesa ndio kila kitu pumbavuuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa pesa pesa ndio kila kitu pumbavuuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app