Mwanaume mashine au pesa?

Mwanaume mashine au pesa?

Kama wapo wanaume hizo mnazoita mashine, hazifanyi kazi sawasawa, nasikitika kwa kweli...na Kama kuna mwanamke hajakutana na mashine anayohadithiwaga pia nampatia pole...
 
Vyote...ukiwa na pesa tu bado wajinga jinga watakugongea tu
 
Pesa ni insurance lakini kwa mwanamke Mashine na utendaji wake kazi Ndio itakuheshimisha
 
Hahaaa. Vinaenda pamoja aisee hakuna aliyemzidi mwenzie.

Ukiwa na mashine halafu huna pesa ni bure na ukiwa na pesa huku mashine mbovu ndio bure kabisaaaa.
Tutake radhii....pls. Hivi pesa inatakiwa iwe shingapi??
 
Kimapenz mwanaume mashine , kimaisha vyote vinamata hasa pesa
 
Ukiwa na machine then hela huna must demu wako watamuinamisha tuu..na ukiwa na hela mashine mbovu pia demu atagongwa tuu. So yote mhimu
 
Ukiwa na machine then hela huna must demu wako watamuinamisha tuu..na ukiwa na hela mashine mbovu pia demu atagongwa tuu. So yote mhimu
Mashine heshima.
 
Hahaaa. Vinaenda pamoja aisee hakuna aliyemzidi mwenzie.

Ukiwa na mashine halafu huna pesa ni bure na ukiwa na pesa huku mashine mbovu ndio bure kabisaaaa.
Pesa ndio kilakitu ayo mambo mengine ni mbwembwe tu
 
Mwanaume mashine, pesa inatafutwa, uanaume Kamili hautafutwi ila pesa inatafutwa, unaweza kuwa na pesa alafu mashine haifanyi kaz inakuwa fedhea ktk maisha, uanaume ni mashine ifanye kaz sawa sawa, pesa sio kila kitu kwenye mapenz japo ni muhim kwa kujikim
 
Back
Top Bottom